Hebu vuta picha ingekuwaje?

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
770
2,408
Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa mwanamke.

Hivi ingekuwaje kama ule utamu ambao wanaume huwa tunaupata wakati wa ejaculation (utamu wa bao) kama ungekuwa unadumu kwa muda wa hata wa dakika 5 bila kukata?

Watu si wangetaja account number na password juu ya viuno?

 
Hongera kwa kupata utamu. Mimi ni mwanaume lakini huwa sipati huo utamu hivyo siwezi kuchangia chochote. Huwa nafanya kwa ajili yake tu
 
Hongera kwa kupata utamu. Mimi ni mwanaume lakini huwa sipati huo utamu hivyo siwezi kuchangia chochote. Huwa nafanya kwa ajili yake tu

Mkuu fanya haraka ukakatwe govi maana ni ngumu sana kusikia utamu ukiwa na mkono wa sweta sisi wanaume wenzio tunafaidi sana
 
Mkuu acha kufananisha password ya Account na mambo ya kijinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom