Hebu tuweni wakweli hasa wadada.

mi siangaliii kidato kwa kweli, napenda mwanaume msafi na anayemthamini mwanamke(that is enough for me), ikitokea anangawira poa, asipokuwa nazo pia poa coz im so independent.sijali kama ana uume mkubwa au mdogo as long as will love each other(true love and faithful).

hahaaaa,basi humu duniani mko watatu
 
Kwa wadada wetu inawezekana kinadharia zaidi, sio kivitendo
Sasa hapo unawasemea. Kwa mtazamo wangu yote inategemea ikiwa mwanamke anafuata madarasa na kipato badala ya mapenzi, kwani mapenzi/maelewano hayategemei darasa wala kipato. Mwanamume anaweza kuwa msomi (wa vitabu) na mwenye kipato kikubwa lakini akakosa sifa za kuwa mpenzi bora.
 
Sasa hapo unawasemea. Kwa mtazamo wangu yote inategemea ikiwa mwanamke anafuata madarasa na kipato badala ya mapenzi, kwani mapenzi/maelewano hayategemei darasa wala kipato. Mwanamume anaweza kuwa msomi (wa vitabu) na mwenye kipato kikubwa lakini akakosa sifa za kuwa mpenzi bora.

Kuna vitu vingine wala havihitaji kusemwa na jinsia husika ili vionekane vya ukweli, kwa sababu walengwa wa mahusiano na wadada ni sisi wanaume, hivyo sisi wanaume tunakuwa na ushahidi wa kivitendo zaidi kuliko ambapo ungekuwa unasimuliana na mwanamke mwenzako.
Ndio maana nasema kinadharia inawezekana mwanamke akapenda mwanaume asiye msomi, lakin ukiangalia maisha ya sasa, msaada wa kimawazo na kiuchumi kutoka kwa mwenzako ni muhumu sana kutokana na kwamba mahusiano ya sasa hayaangalii tu mnapendana vipi bali hata uwezo wenu wa kutafsiri mambo na kuyafanyia kazi.

Hata kama mtu ana akili vipi, kama anakosa elimu darasani anakosa kitu muhimu sana ktk kupanua zaidi uwezo wake wa kuona mbali. Mfano mwanamke amesoma mpaka degree ya kwanza na anafanya kazi sehemu fulani. Labda atapenda kupata mawazo ya mwenzi wake kutokana na changamoto anazozipata kazin, mwanaume ameishia darasa la saba na kondakta wa daladala. Ni wazi kwamba ushauri atakaopewa na mume kwa kiasi kikubwa hautakuwa msaada saidizi kwa kuwa mume wake hajawahi kufanya kazi ktk mazingira anayofanyia kazi mke wake. Hata changamoto wanazopata ktk kazi zao ni tofauti pia. Mume atapata changamoto za kufanya kazi na makonda wenzake ambao kwa asilimia kubwa wana elimu ndogo, wakat mama atapata uzoefu kwa watu wenye elimu sambamba na yake.

Kitu kingine ni heshima. Mwanamke atapenda awe na mume ambaye atajisikia fahari hata kumtambulisha kielimu mbele ya jamii au wenzake.
 
Hivi jamani, elimu sio kigezo cha kuangalia unapotaka kuingia kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa).
Mdada unaweza kuolewa na mwanaume ambae hajaenda shule kabisa au ameishia shule ya msingi?
penye true love mi naoana hatuangalii hivyo vigezo na ndomaana watu wengi wana good life lakini they are not happy... kwangu mimi mapenzi ya kweli ndio first no matter wht..
 
mi siangaliii kidato kwa kweli, napenda mwanaume msafi na anayemthamini mwanamke(that is enough for me), ikitokea anangawira poa, asipokuwa nazo pia poa coz im so independent.sijali kama ana uume mkubwa au mdogo as long as will love each other(true love and faithful).
supporting u 100%
 
Elimu ni muhimu sana kwa jamii ya leo. Ila katika mapenzi elimu inatakiwa isichukue nafasi kubwa sana miongoni mwa vigezo vya kuangalia unapotaka kuingia kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa). Maana elimu imegawanyika katika sehemu kuu tatu elimu ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya chuo. Hivyo ni vizuri angalau ukafikiria elimu ya sekondari kama kigezo cha kwanza walau!
 
practically ni vigumu kwa std 7.
Nawajua wanaume wengu std 7 wenye mafanikio ila wameoa 4m 4 a std 7 mwenzake.
Naturally mwanaume akiwa chini hajiamini na nijuavyo wanawake wengi hawapendi kuwa na watu wasiojiamini.
 
Back
Top Bottom