Wadada ni Instagram, Wakaka ni Porn. Jinsi majukumu asilia yanavyotokomezwa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Wadada hupata attention sana huko instagram kutoka kwa wanaume kupelekea kuwapa wadada hisia ya security.

Wakaka hutumia muda sana kuangalia porno huku waki-idolize wanawake kuwa wako nao bila ya majukumu makubwa/nguvu kubwa.

So, instagram na porn zote zitatupatia sense ya kuridhika (satisfied) na security huku tukipuuza majukumu muhimu asilia.

Bila ya kujua kuwa vina tu-stopisha tusipende, tusitafute mahusiano ya msingi katika nyanja tofauti za maisha na pia tusipevuke na kukuwa kifikra ili kuuacha yasio ya msingi katika utu uzima.

So, tunachoambulia ni wadada kugeuka kuwa hookers huko instagram hata hawakuwa na wazo hilo walivyo join. Wadada kuwa za dharau katika ulimwengu wa asilia kutokana na kuvimba kichwa kutokana na sifa za instagram. Wadada kupata depression kama hapati attention ya kutosha au kama hapati attention kama ya mdada mwingine kupelekea mdada ageuka kukaa uchi uchi ila apate likes.

So, tunachoambulia ni ongezeko la vijana wanao musterbate hadi ukubwani, ongezeko la vijana katika ubakaji, ongezeko la vijana la kufanya yale yalio katika porno kama vile anal sex, ongezeko la vijana kuto thamini msingi wa ndoa.


Nice weekend.




Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
wakati upo hayo yote yatakoma na dunia itarudi kwenye misingi yake, asili haiachi asili siku moja kawaida itarudi.
Kumbuka Mkuu, Wahenga tunasema Kila Leo, technology hii mitandao ya kijamii imekuja na Madhara makubwa (hasa katika nchi zisizo na udhibiti)

Hivyo tunabaki kushuhudia Ulimwengu/Dunia ikiharibika.
 
Back
Top Bottom