mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,192
[emoji1][emoji1][emoji1]Nianze tu kuwa handsomeNdio handsome boy
[emoji1][emoji1][emoji1]Nianze tu kuwa handsomeNdio handsome boy
You're missed pia 'katotoSari mamboo I MIS U
[emoji2299][emoji2299][emoji2299][emoji1322][emoji1322][emoji1322] dah kumbe kakupiga parefu...hujatuambia ilikuwaje mrembo ukaingizwa cha kiume cha watoto? Au ahadi hewa [emoji16][emoji16]mambo yetu yalee.Utanipa ml 5 aliyoiba huyu nyang'au?
Huenda kuwa unayosema ni kweli.. ila vipi kuhusu lile group la wachache ambalo pesa wanayo.. na si matapeli.. ila wanaangukia kwa wadada ambao ni slay queens.. au wadada ambao wameshachokwa wanatafuta pa kupumzikia?Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
Pole zao kabisa ila kwangu naangukia kwa maslay kings na nimatapeli japo sina hela ila ndio hivyo.Huenda kuwa unayosema ni kweli.. ila vipi kuhusu lile group la wachache ambalo pesa wanayo.. na si matapeli.. ila wanaangukia kwa wadada ambao ni slay queens.. au wadada ambao wameshachokwa wanatafuta pa kupumzikia?
Mimi sio member wa mwaka jana 2012We member wa mwaka Jana umeyajuaje haya?
Yeye kadai anamchongo ila hela hana kwa sababu na mjua mtu nikasomesha ramani full.[emoji2299][emoji2299][emoji2299][emoji1322][emoji1322][emoji1322] dah kumbe kakupiga parefu...hujatuambia ilikuwaje mrembo ukaingizwa cha kiume cha watoto? Au ahadi hewa [emoji16][emoji16]mambo yetu yalee.
NimeshakuambiaOk hebu tufafanulie ilikuwaje ili nasie tukasomeshwa my dear
Pole zao kabisa ila kwangu naangukia kwa maslay kings na nimatapeli japo sina hela ila ndio hivyo.
Wametapeli ml 5 za watu.
Kama wewe ???Mtoto wa mjin kama ww unangukiaje kwa watu wa ajab ajab?
Au ni jinsi unavyojiweka dio maana imekuwa rahis kukubabua?
Embu tafuta anaejielewa.
Kama wewe ???
Mtaje basi ili kama ana la kusema na yy aseme si kesi ya upande mmoja tu itakuwa si sawa weka mambo hadharani kama yule aliedai fulani ni domo zege.....weee kilichofuta anakijua mwenyewe mchokoza mada kala kona kama zote,funguka toto lao ili tukusaidie kumshikisha adabu ...Yeye kadai anamchongo ila hela hana kwa sababu na mjua mtu nikasomesha ramani full.
Ikatiki akawa hana zile ahadi njema ni hewa kasepa baada ya kukabidhiwa mzigo.
5.6ml
Sharti la jf vitu vya pm usiweke hadharaniMtaje basi ili kama ana la kusema na yy aseme si kesi ya upande mmoja tu itakuwa si sawa weka mambo hadharani kama yule aliedai fulani ni domo zege.....weee kilichofuta anakijua mwenyewe mchokoza mada kala kona kama zote,funguka toto lao ili tukusaidie kumshikisha adabu ...
Unataka nimseme utanisaidia ???Shubamiti ingekuwa mm ningesanuka tuu ml.5.6 then nirembe mbona kingeeleweka
Sheria ya jamii forum ndio hii usije kusema jukwani siri ya watu wawili ila sijawahi siku nyingi kuloga mtu naenda kwa kalumanzilaMtaje basi ili kama ana la kusema na yy aseme si kesi ya upande mmoja tu itakuwa si sawa weka mambo hadharani kama yule aliedai fulani ni domo zege.....weee kilichofuta anakijua mwenyewe mchokoza mada kala kona kama zote,funguka toto lao ili tukusaidie kumshikisha adabu ...