Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Shikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo kuhusu maisha,kumbukeni nivyohitaji Mawazo humu si kwamba hizo aidia Mimi sina,Bali ni kwamba najaribu kuwianisha na kimsingi wapo wachache ambao nimechukua ushauri wao kama ulivyo na nitaufanyiq kazi.
Ila wengine sasaaaa,
Mara oooh huyu anajiuza,anatafuta bwana,mara anatafuta mume,halafu ina maana mtaani wanaume hamna Hadi mtu aje mtandaoni,Kwa wanaume gani sasa,
Yaani mwanaume anayeshinda mtandaoni masaa kibao huyu atakuwa mume wa nani.
Yaani Maria Mimi nitafute mwanaume mtandaoni, sikilizeni Mimi kama nilivyopost picha yangu mtandaoni ndivyo nilivyo,si wa kishua nimezaliwa kwenye family ya kawaida,hakuna mwanaume hawezi kuwa na Mimi sasa jidanganyeni na kujipa matumaini hewa nawezaje kujibu DM ya mtu wa jamiiforum,nawezaje kutoka na wanaume surambaya na mbovu wa humu ,wengi nimekutana nao wabayaaa mxieeew