Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Aisee mm npo vizuri kwnye picha ndo mm huyo live sijui wao wana tatizo ganiha ha ha ha ndio wale wakikutana 'live' wanaanza kukimbiana na kuzimiana simu
Aisee mm npo vizuri kwnye picha ndo mm huyo live sijui wao wana tatizo ganiha ha ha ha ndio wale wakikutana 'live' wanaanza kukimbiana na kuzimiana simu
ha ha ha picha zinadanganyaAisee mm npo vizuri kwnye picha ndo mm huyo live sijui wao wana tatizo gani
Sio kwangu [emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha picha zinadanganya
Tuma nione...Sio kwangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeingia tena ovulation?Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
🤣🤣🤣🤣katoto kazuri wahuni sio watu wazuri [emoji23][emoji23]
HeheheheeUmeingia tena ovulation?
Maana kwa kawaida ukiwa ovulation ndipo unaanza hoja za kubanjuana. Ulikuwa umetulia ni karibia siku 28 sasaHehehehee
Sio kubanjua ni mtu nimemuamini akaniuzia mawe kwenye guniaMaana kwa kawaida ukiwa ovulation ndipo unaanza hoja za kubanjuana. Ulikuwa umetulia ni karibia siku 28 sasa
Pole sana si ajabu wewe unazingua sanaSio kubanjua ni mtu nimemuamini akaniuzia mawe kwenye gunia
Kwanza nazinguaje kwa mfano ule hela za watu halafu mi mwanafunzi nitaokota wapi??Pole sana si ajabu wewe unazingua sana
we si ulinikataa mimi, au kwa sababu uliona nina sura mbaya!Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
mimi nini?Mi mkweli ila napenda vitu vizuri na hela je wewe??
pumba.Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana
Huo ni uongowe si ulinikataa mimi, au kwa sababu uliona nina sura mbaya!
tatizo nyinyi wanawake mnataka at the same time mwanaume awe handsome, pesa, tall, future oriented and all positive traits.....
sisi sura nzito ila mengine tupo vzuri hamtutaki