Hebu tufundane leo......

Hahahahaha......... Ningeshangaa usingetia timu hapa Bigirita . Vigezo na masharti kuzingatiwa. Join date muhimu hahahahaha!!!

Hahahaha hommie Kimey sijakumensheni lakini umeshatia timu hapa. Lakini wewe ni ndugu yangu na kizuri mtu hula na nduguye...
mi naangalia tu...........
Join date jama.............ohooooo!!!
shaurilo.............vibichiiii vya 2012!!!

Kaaaziii ni kwako Kimey and Asprin
 
Last edited by a moderator:
Imekaa vizuri ila nabibi kwanza usome hisia za mwanaume make wengine ukimafinyia ma utundu anakuchukulia kuwa wewe ni malaya.na kila mwanamme ana namna anayoipenda kwenye bed. wengine viuno wengine koni wengine malalamiko na kadhalika, jiongezeni akina dada make la sivyo mtakua walinzi wa nyumba.

Nimeipenda hii GITWA sio unakuja na mastaili yako umeyatoa kwa Asprin unakuja mfanyia Mende0......Nani kakuambia anayataka hayo. Pole pole Usome hisia za Mwanaume huyo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Asprin,
hili si tu kwa akinadada hata akina kaka pia......
mwenzio akila koni, nawe nenda uvinza..... sio ukatae kwenda uvinza uonze oooh kuna fangus, nilisoma jf kuwa haifai shaurilo.......hadi kuleee kunanyonywa , ukisema huko kwa kutolea chakula kilichotumika mwilini shaurilo....(hapa nasisitiza kunyonywa tu si vinginevyo tafadhali...)

mwili wa mpenzio ni wako ulambe, unyonye, utafune fanya yooooooooooote......
kama una kinyaa kuna asali au chocolate unaweza tumia kupeana mzuka...

kingine usafi jamani usafi, usafi kuanzia nje ya nyumba hadi chumbani...usafi kuanzia kucha hadi miguuu...
ninaposema kuanzia kucha hadi miguu sizungumzii kubandika kucha la hasha bali kuwa katika hali ya usafi.....

na nyie wanaume pia, umetoka mihangaikoni ukifika home , sio tu kumparamia mwenzio ilhali mijasho inakutoka, kikwapa kinatema, la hasha jiswafi pia........

na wanawake waliozaa, sio kuwa rough, maziwa kutiririka la hasha, kuwa smart babayoyoo akirudi afurahi...
Hahahahah BADILI TABIA

Kwa leo imetosha, nimeshiba......

Kilichobaki ni vitendo. Nakusubiri PM kule tujadiliane mambo ya preezing mpaka tufikie preezing point...:hat:
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......




Lovely observation, and on the flip side of things, to my fellow men; treat her like a w***e in bed and she will love you for it!!!
 
Hebu kaprint kadi nyingine za kujiunga ISC bana, kuna members kibaoo wanahitaji!
BTW alichosema Preta itabidi wakizingatie....
Himmie Kimey,
card za uanachama zipo..........tatizo la cheamani akitoa kadi harudishi mshindo nyuma.....
especially akitoamo kwa kibichiiii.........yani BA sosholoji 101.
 
Last edited by a moderator:
Ukifika hapo kwa wanaume nadhani itabidi nikupokee kijiti. Vijana siku hizi wananiuzi sana bana... wamekuwa wazembe mpaka vibinti vinafanyana vyenyewe kwa vyenyewe...Khaa!

sawa babu....bila mbio za vijiti mambo inakaa mbaya....CHUKUA VIJITI.....
 
Sitaki kuamini hata uwe best kwenye kitanda, men have that mentality that they like to try different taste. So they will never satisfied, somehow unaweza kumshika kwenye maswala ya kitandani if you're good at but necessaryyou are the one he loves the most!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom