Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Hebu nipeni ushauri wanajamvi

WAKATI UKO 6x6 KWA MARA YA KWANZA HUKUOGOPA UJE UOGOPE KWENDA KUTAMBULISHWA???????? NDIO NYIE MNAOTAKA KUONJA ONJA NA KUOGOPA MAJUKUMU. MARA OHOHH NIMEVUTIWA, NI MZURI, UKALALA NAE, WE HUJUI KULALA NA MTU NI HATARI KULIKO KUTAMBULISHWA? JE ANGEKUWA NI JINI SI ANGEKUMALIZA? HUNA LOLOTE KUJIZUNGUSHA KOTE UNAOGOPA MAJUKUMU.

halafu nina wasi wasi na jna lako hlo double k( k * m* au?
 
halafu nina wasi wasi na jna lako hlo double k( k * m* au?

Kikujaacho akilini ndicho kikutokacho kinywani, we ukiskia Double K unawaza k*m*. Ndio maana ulimparamia dada wa watu, sasa ivi unamkwepa.
 
unajua mkuu kitendo cha kuonana mtandaoni, kuvuana nguo pasipo kufahamiana vizur tena anataka ndoa wakat hanijui tbia yangu nami smjui tabia yake. Nilimpeleka nyumban kwangu lakin yale sio makaz yangu kamili ni kageto huwa nafikiaga na hakana chochote ndani zaid ya kitanda na kasofa kadogo
Nakubaliana na wewe kiasi, kuvuana chupi il halu hamfahaniani vuzuri ni udhaifu, na bahati mbaya wengi tumeangukia hapo japo mara moja.

Ila kwa upande mwingine naona usitumie kigezo cha kupnana mtandaoni kama njia ya kumtenga na kuweka fikra kuwa labda yeye ni kicheche, kwamba hajatulia. Hata jamii ya mitaani tunakoishi mbona wanafanya hivyo, tena bila kujuana kabisa!!!!!

Naamini unaweza "kumcosider" kama moyo wako umempenda, tumia mda wako kumuelewesha kuwa bado ni mapema kupelekana kwa wazazi, mpe sababu za kutosha na tumia fursa hii kumfahamu kwa undani zaidi...

Hakuna aliyekamilika, kama mnaelewana katika mambo mengine, mpe nafasi....
 
wewe kama imekukera kaa kmya mzinzi nan?? Ungekuwa karibu ninge kupiga vichwa karyamana

Hewalaaaaa!!!

Huu ndio wakati niliokuwa nausubiri...ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali...

Thread No. 1 : 16th October 2013

https://www.jamiiforums.com/love-connect/539051-natafuta-mchumba.html

Katika thread ulikuja hapa kutafuta mchumba, ni kitu chema mwanaume au mwanamke kusaka mchumba.

Thread No. 2 : 28th December 2013

https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-ni-lip-na-ungekuwa-wewe-ungefanyeje.html

Mara hii ukarudi tena na hii thread ukijawa na malaumu na vilio vya kivulana, ukalalama kwamba unahisi mchumba wako amekucheat.

Kwa haraka mtu anaweza akafikiri ni huyo mchumba uliyempata baada ya bandiko la Thread No. 1 hapo juu.

Lakini ndani ya thread hii umebainisha kuwa umekuwa na mahusiano na binti huyo kabla hata hujaja hapa kutafuta mchumba, au kwa lugha nyepesi ni kuwa wakati watafuta mchumba hapa JF ulikuwa na girlfriend huko kitaa.

Nanukuu:
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana huyu binti tunafanya kaz mikoa tofaut, kwa bahati nzuri mwez wa sita mwaka huu akapata nafas ya kujiendeleza kimasomo akaenda kusoma mikoa ya kaskazn....

Leo unakuja hapa ukijifaragua namna ulivyofanya ufirauni wako na kuomba ushauri kama vile hujui ulilofanya ni kosa...

Si ajabu huyo uliyomtenda ni yule uliyempata baada ya bandiko lako la uchumba humu ndani, na mbaya zaidi ulimpata huku ukiwa na mwanamke mwingine...

Je kwa nini mtu wewe tusikuite mzinzi kama sio muasherati?

Muogope Mungu kijana....
 
Umekutana nae jf alafu still unakuja kuombaushauri jf na yy anaijua id yako,mhh! Au mlikubaliana asiingie jukwaa la mmu??
 
Hapo nawashangaaga wanaume. Ukipewa papuchi, shes too easy. Ukinyimwa, you start hating. Tuwaelewe vipi?

Another thing, maybe am different but kutembea na mtu hakunifanyi nijisikie nimetumiwa ama nimedhalilishwa in any way.

Why should I feel that way if I consented as an adult?

Somethings are really difficult to understand.
 
Habari zenu kwa kila mmoja,

Naam bila kupoteza muda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaani, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakini huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi.

Dada wa watu bila hiyana akaja, Kweli tukaonana siku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kiasi na sikuamini kama ni binadamu wa kawaida nilifikiri ni jini.

Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mimi, siku hiyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumbani kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane.

Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizuri kwanini anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizuri je kwa wengine atashindwa vp?

Japo nimejaribu kumpeleleza sana kazini kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mimi nampenda ila imani naye sina naomba ushauri wenu.

Acha uzinzi pimbi wewe.
 
Nakubaliana na wewe kiasi, kuvuana chupi il halu hamfahaniani vuzuri ni udhaifu, na bahati mbaya wengi tumeangukia hapo japo mara moja.

Ila kwa upande mwingine naona usitumie kigezo cha kupnana mtandaoni kama njia ya kumtenga na kuweka fikra kuwa labda yeye ni kicheche, kwamba hajatulia. Hata jamii ya mitaani tunakoishi mbona wanafanya hivyo, tena bila kujuana kabisa!!!!!

Naamini unaweza "kumcosider" kama moyo wako umempenda, tumia mda wako kumuelewesha kuwa bado ni mapema kupelekana kwa wazazi, mpe sababu za kutosha na tumia fursa hii kumfahamu kwa undani zaidi...

Hakuna aliyekamilika, kama mnaelewana katika mambo mengine, mpe nafasi....

nakukubali sana mkuu. Umetoa ushauri mzuri sana nakubali kweli nilionyesha udhaifu kuvuana nguo kabla hatujajuana na huyo bint na huo ni udhaifu mkubwa sana. Thanx alot kaka
 
Hewalaaaaa!!!

Huu ndio wakati niliokuwa nausubiri...ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali...

halafu nikuulize hv ww ni mwanamke au mwanaume? Kwenye koment yako naskia harufu ya papuchi
 
Ooh eti alinivuliaje chupi wakati hanifahamu, nikuulize tu we ulipokuwa unavua boxer yako ulikuwa unamfahamu? Yaani nashangaa sana hili jukumu la kujitunza wanapopewa upande mmoja tu yaani “ke“ kwani “me“hawapaswi kujitunza? Na wewe ulitakiwa ujifikirie fikirie mara mbili kwamba mdada haumfahamu, haujui background yake kisha ufanye maamuzi. Kujirahisisha kwake kusiwe tiket ya wewe kumtumia tu utakavyo hata bila kujali afya yako kijana.
 
umemsifia mwanzoniiii alafu unaanza kumgeuka...polen akina dada...ushauri wangu ni ww kwenda mahakaman na kujifungulia kesi mwenyewe kwamba umemwaribu mdada wa watu. Akili nyingine asee dah sjui ni za wap.
 
Hewalaaaaa!!!

Huu ndio wakati niliokuwa nausubiri...ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali...

Thread No. 1 : 16th October 2013

https://www.jamiiforums.com/love-connect/539051-natafuta-mchumba.html

Katika thread ulikuja hapa kutafuta mchumba, ni kitu chema mwanaume au mwanamke kusaka mchumba.

Thread No. 2 : 28th December 2013

https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-ni-lip-na-ungekuwa-wewe-ungefanyeje.html

Mara hii ukarudi tena na hii thread ukijawa na malaumu na vilio vya kivulana, ukalalama kwamba unahisi mchumba wako amekucheat.

Kwa haraka mtu anaweza akafikiri ni huyo mchumba uliyempata baada ya bandiko la Thread No. 1 hapo juu.

Lakini ndani ya thread hii umebainisha kuwa umekuwa na mahusiano na binti huyo kabla hata hujaja hapa kutafuta mchumba, au kwa lugha nyepesi ni kuwa wakati watafuta mchumba hapa JF ulikuwa na girlfriend huko kitaa.

Nanukuu:

Leo unakuja hapa ukijifaragua namna ulivyofanya ufirauni wako na kuomba ushauri kama vile hujui ulilofanya ni kosa...

Si ajabu huyo uliyomtenda ni yule uliyempata baada ya bandiko lako la uchumba humu ndani, na mbaya zaidi ulimpata huku ukiwa na mwanamke mwingine...

Je kwa nini mtu wewe tusikuite mzinzi kama sio muasherati?

Muogope Mungu kijana....

Duh! Nakuaminia sana.
 
Back
Top Bottom