Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
- Thread starter
- #101
Hewalaaaaa!!!
Huu ndio wakati niliokuwa nausubiri...ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali...
Thread No. 1 : 16th October 2013
https://www.jamiiforums.com/love-connect/539051-natafuta-mchumba.html
Katika thread ulikuja hapa kutafuta mchumba, ni kitu chema mwanaume au mwanamke kusaka mchumba.
Thread No. 2 : 28th December 2013
https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-ni-lip-na-ungekuwa-wewe-ungefanyeje.html
Mara hii ukarudi tena na hii thread ukijawa na malaumu na vilio vya kivulana, ukalalama kwamba unahisi mchumba wako amekucheat.
Kwa haraka mtu anaweza akafikiri ni huyo mchumba uliyempata baada ya bandiko la Thread No. 1 hapo juu.
Lakini ndani ya thread hii umebainisha kuwa umekuwa na mahusiano na binti huyo kabla hata hujaja hapa kutafuta mchumba, au kwa lugha nyepesi ni kuwa wakati watafuta mchumba hapa JF ulikuwa na girlfriend huko kitaa.
Nanukuu:
Leo unakuja hapa ukijifaragua namna ulivyofanya ufirauni wako na kuomba ushauri kama vile hujui ulilofanya ni kosa...
Si ajabu huyo uliyomtenda ni yule uliyempata baada ya bandiko lako la uchumba humu ndani, na mbaya zaidi ulimpata huku ukiwa na mwanamke mwingine...
Je kwa nini mtu wewe tusikuite mzinzi kama sio muasherati?
Muogope Mungu kijana....
yeye anajua tumesahau kumbe kuna vichwa humu