Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Moja,
Kuandika(Uandishi) wa bila vituo unachosha sana.

Pili, hivi huoni hata kama ukipata ushauri mzuri na mlikutana humu(possibly yeye bado ni JF member) itahatarisha uhusiano wenu?

Naomba kuuliza, ni kwanini unasema wewe ndio uliyevutiwa zaidi kwake? Ulipimaje hili.

Nafikiri, ninyi wawili wote ndio wenye kuamua uhusiano wenu toka mara ya kwanza kuwasiliana, kuonana n.k. Yaani mlipanga uhusiano wenu uweje.

Suala la kutambulishana mapema kiasi hiki(mapema kwa maana mawasiliano yenu yanaonekana yako less physical, na 'fiziko' hapa simaanishi kukutana kimwili ila uwepo wenu wa kimwili bila kuhuusisha ngono).

Either, she is too desperate au she is trully into you. But i highly doubt of the later kwa sababu, ya jinsi ya kukutana kama ulivyoeleza.

on point Hippo
 
ulimtafuta wa nini kama UMUAMINI!! mawasiliano,kuonana,kuvuana ch*u*pi,!!!! ulitumia ndom kweli
 
Nazjaz ebu njoo umone huyu! Uenda ndio yule aliyekua na begi kiunoni.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wapewe nini jamani wasilalamike?? mimi huwa siwaewi kabisa.

Eti wanaume nisaidieni kuelewa,huwa mnataka nini haswah kwa wanawake????😡
 
Wanaume wapewe nini jamani wasilalamike?? mimi huwa siwaewi kabisa.

Eti wanaume nisaidieni kuelewa,huwa mnataka nini haswah kwa wanawake????😡

papuchi!
 
Ila kweli wewe gaidi umemgegeda halafu unaanza kujenga mazingira ya kumkimbia,

ila kweli wewe hata shetani atakulaani kwa ukofi wako
 
Hahahaha jamaa kala za uso mpaka kawa mpole.Cku nyingine usilete utoto kwa wakubwa,unachapwa viboko.Watu wanatafuta wake wa kuoa wewe unaleta masihara hahahaha.
 
Aisee!kuna watu mna shahada za kutukana wengine, yani unajidai kuomba ushauri huku una mtukana!

HIVI LENGO LAKO LILIKUWA NINI KUMPELEKA KWA HOTEL? ALIKUBAKA? ACHA UTOTO.

HATA UJUI UMEANDIKA NINI! YANI UNASHANGAA KUVULIWA CHUPI ALAF UNA SAHAU KUSHANGAA KUVUA BOKSA KWA USIYE MUAMINI.

yaani ndugu watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wana kasoro ilhali na wao wanakasoro hizohizo
 
Kwanini usimueleze mwenyewe mashaka yako?
Tell her you need some time ili mfahamiane vizuri
Habar zenu kwa kila mmoja: naam bila kupoteza mda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaan, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakin huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakin mm ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi, dada wa watu bila hiyana akaja. Kweli tukaonana sku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakiin mm ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kias na sikuamin kama ni binadamu wa kawaida nilifikir ni jini.... Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mm, siku hyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumban kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane. Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizur kwann anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizur je kwa wengine atashindwa vp? Japo nmejaribu kumpeleleza sana kazin kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mm nampenda ila iman naye sina naomba ushauri wenu
 
Mchunguze mpaka miaka 50 ndio atafaa kumuoaaa
 
yaani ndugu watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wana kasoro ilhali na wao wanakasoro hizohizo

sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??
 
sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??

katika mawasiliano yenu, una uhakika kuwa mlikubalina kufanya tu uzinzi? Naelewa wanaume tuna gia nyingi ila jaribu kukumbuka kama kuna maneno uliyoyatumia ambayo yanaleta mtazamo wa long relationship. Ila pia punguza mambo yetu yale maana hayaleti sifa,maendeleo na hata utukufu kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom