Kosa langu ni lip? Na ungekuwa wewe ungefanyeje?

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,758
2,000
Natumain mmesherehekea vyema skukuu ya x-mass. Niende moja kwa moja kwenye maada! Nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana huyu binti tunafanya kaz mikoa tofaut, kwa bahati nzuri mwez wa sita mwaka huu akapata nafas ya kujiendeleza kimasomo akaenda kusoma mikoa ya kaskazn, akiwa masomon akanipigia sm sku moja na akaniambia kuna mkufunz anamtaka kimapenz mm nikamwambia uamuz upo kwake kukubali au kukataa, aksema hawez kumkubalia ikapita kama mwez mmoja kaniambia tena kuwa yule mkufunz amemrushia hela kwenye M pesa kwakweli nilimfokea sana kuwa kwann bado anakuwa na mazoea nae? Akaomba msamaha ikapita mwez wa kumi na moja akaniambia atakuja likizo ninakoishi mm ila atakaa wiki 3 tu wiki nyingne ataenda kutembea mkoa mwingne kama kutalii, wakat mkoa anaoutaja ni ule anaishi huyo jamaa aliyemtokea. Kuskia hvyo nilipatwa na hasira sana nikamwmbia asije kabisa kwang aende hukohuko anakotaka kwenda hapo ikadibidi nitafute mwanamke mwngne haraka haraka ili kupoza hasira yangu. Baada ya wiki moja akgundua kuwa ninaishi na mwanamke bas akaja moja kwa moja mpaka nyumban kwangu na kuanza kunilaum kuwa nimemtenda. Mm nikamwambia mm sio muhm kwako tena nenda kaendelee kutalii. Wadau kosa langu ni lipi jaman
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,243
2,000
Subira yavuta heri na haraka haraka haina baraka, baada ya wiki moja tu ukaweka mwanamke mwingine ndani!? Kweli ulitaka kumuoa huyu au ulikuwa unamzuga tu!?

Natumain mmesherehekea vyema skukuu ya x-mass. Niende moja kwa moja kwenye maada! Nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana huyu binti tunafanya kaz mikoa tofaut, kwa bahati nzuri mwez wa sita mwaka huu akapata nafas ya kujiendeleza kimasomo akaenda kusoma mikoa ya kaskazn, akiwa masomon akanipigia sm sku moja na akaniambia kuna mkufunz anamtaka kimapenz mm nikamwambia uamuz upo kwake kukubali au kukataa, aksema hawez kumkubalia ikapita kama mwez mmoja kaniambia tena kuwa yule mkufunz amemrushia hela kwenye M pesa kwakweli nilimfokea sana kuwa kwann bado anakuwa na mazoea nae? Akaomba msamaha ikapita mwez wa kumi na moja akaniambia atakuja likizo ninakoishi mm ila atakaa wiki 3 tu wiki nyingne ataenda kutembea mkoa mwingne kama kutalii, wakat mkoa anaoutaja ni ule anaishi huyo jamaa aliyemtokea. Kuskia hvyo nilipatwa na hasira sana nikamwmbia asije kabisa kwang aende hukohuko anakotaka kwenda hapo ikadibidi nitafute mwanamke mwngne haraka haraka ili kupoza hasira yangu. Baada ya wiki moja akgundua kuwa ninaishi na mwanamke bas akaja moja kwa moja mpaka nyumban kwangu na kuanza kunilaum kuwa nimemtenda. Mm nikamwambia mm sio muhm kwako tena nenda kaendelee kutalii. Wadau kosa langu ni lipi jaman
 
KingRay

JF-Expert Member
May 5, 2013
516
500
Hulioni kosa mkuu....ulifanya maamuzi ya haraka sana hapo...ungetulie ujue ukwel zaid
 
Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,189
2,000
Natumain mmesherehekea vyema skukuu ya x-mass. Niende moja kwa moja kwenye maada! Nilikuwa na mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana huyu binti tunafanya kaz mikoa tofaut, kwa bahati nzuri mwez wa sita mwaka huu akapata nafas ya kujiendeleza kimasomo akaenda kusoma mikoa ya kaskazn, akiwa masomon akanipigia sm sku moja na akaniambia kuna mkufunz anamtaka kimapenz mm nikamwambia uamuz upo kwake kukubali au kukataa, aksema hawez kumkubalia ikapita kama mwez mmoja kaniambia tena kuwa yule mkufunz amemrushia hela kwenye M pesa kwakweli nilimfokea sana kuwa kwann bado anakuwa na mazoea nae? Akaomba msamaha ikapita mwez wa kumi na moja akaniambia atakuja likizo ninakoishi mm ila atakaa wiki 3 tu wiki nyingne ataenda kutembea mkoa mwingne kama kutalii, wakat mkoa anaoutaja ni ule anaishi huyo jamaa aliyemtokea. Kuskia hvyo nilipatwa na hasira sana nikamwmbia asije kabisa kwang aende hukohuko anakotaka kwenda hapo ikadibidi nitafute mwanamke mwngne haraka haraka ili kupoza hasira yangu. Baada ya wiki moja akgundua kuwa ninaishi na mwanamke bas akaja moja kwa moja mpaka nyumban kwangu na kuanza kunilaum kuwa nimemtenda. Mm nikamwambia mm sio muhm kwako tena nenda kaendelee kutalii. Wadau kosa langu ni lipi jaman

It seems kuwa wewe huyo mwanamke mwingine ulikuwa nae kitambo na ukawa waiba ruti kwa sana tu.
yaani week moja hadi na ku-earn trust ya mwanamke kuja kuishi kwako kirahisi hivyo? In short haukuwa na nia ya kuj kufunga ndoa na huyo mwanamke wako wa mwanzo kama unavyodai. And of course makosa unayo kwa kucheat na kucheza na hisia za mtu
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Hata mimi ningefanya sawa sawa na wewe! Mapenzi ya kuigiza na kujaribiana ujinga, tiba yake ni hiyo!
Songa mbele asikuumize akili
^^
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
kwahiyo wewe kila ukisikia tu mpz wako katongozwa unamwacha na kutafuta mwengine..siutamaliza wasichana wote xaxa..maamuzi ya kukurupuka hayafai.tuliza akili yako katika kutoa maamuzi.bila shaka hata huyo msichana uliyembadil hujui tabia yake umekulupuka tu ..bola ata huyo aliyekuwa anakwambia wewe kama mpz wake ndo ulipaswa kuwa mtu wa kwanza kumshauri afanyaje ili kujiepusha na huyo tcha lakin kumxuca kwako ktk ushauri ndo kumeleta hayo yote.sasa huyo wa sasa ngoja atoke nje kimyakimya .
 
Ole.info1

Member
Jun 16, 2013
5
0
kosa lako umefanya usalit, mwenzio alikuwa anakuweka waz juu yanayotokea ulichotakiwa kufanya kama kwel hyo mwanamke unampenda ungemshaur namna ya kujikinga coz wao ni viumbe dhaif, uvumilvu ni muhmu sana ktka mahusiano
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,758
2,000
It seems kuwa wewe huyo mwanamke mwingine ulikuwa nae kitambo na ukawa waiba ruti kwa sana tu.
yaani week moja hadi na ku-earn trust ya mwanamke kuja kuishi kwako kirahisi hivyo? In short haukuwa na nia ya kuj kufunga ndoa na huyo mwanamke wako wa mwanzo kama unavyodai. And of course makosa unayo kwa kucheat na kucheza na hisia za mtu

najua nilichukua uamuz wa haraka baada ya kuona hayuko serious angetaka si angeniomba kwenda anakotaka kwenda
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,438
2,000
safi sana kidume. long distance relationship dnt work. wa kwako ukiwa nae akiondoka ni mali ya kila mtu.

sasa huyo mwengine nae mgegede tuu wala usijidanganye kuwa utamuoa.
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,758
2,000
Wewe sio muoaji

Hata kwa huyo dada ulikuwa unazuga

Wiki moja tu ukamreplace?

Shame on you

tatzo hakuonesha umakin kama anajitambua kuwa anamtu kwann apange root zsizo eleweka? Nmefanya vile ili kumuonesha kuwa uwezo wa kumpata mke mwingne upo tena kwa haraka
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,220
2,000
Msaliti mkubwa ww

sijui sheria gani inasema mwanamke akikukera unamtafuta mwingine haraka wa kuishi nae huku hujielewi.Eti kwa vile Mentor anantaka anakaa Iringa nsiende Iringa kutembea?
Mleta mada haihuuu hata kidogo na umebug meeeen!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom