Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
 
Friends match afu ukamgegeda
Una umri gani wewe
 
The same thing happen to me guys but mi nilimfuata straight nkamueleza na tukayamaliza,hakupendezewa kwakwel na nikakubali makosa na kujrekebisha japo ilikuwa ngumu sana kufikia muafaka...sasa ww blaza AKIJUA! KAZI UNAYO,TRUST HER OR LEAVE HER KULIKO KUWA NAE NA HAUMUAMINI...tena fnya juu chini asijue na uyamalize kiume kama KWELI UNAMPENDA.
 
Hebu kaa kimya wewe, ushawahi kuona wapi mzinzi anapewa ushauri!!!

We pimbi unaonekana ni kitombi tena mzinzi mkubwa ngoja nipate wasaa tu, nitarudi hapa nikitulia vizuri...

Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
 
Duh kwanza ndo unatia aibu utawezaje kulala na mwanamkr hata jumjui umshamlamba ndo unaenda kuchunguza hiyo ulitakiwa ufanye toka mwanzo
 
Wewe umeshambandua ndo mana unahisi kama demu kicheche..lakin angekunyima hadi leo ungekuwaunamghasi..acha hizo wewe...nafikiri ushauri ungeomba kabla ya kumbandua...
 
I can imagine aje akute huu uzi hapa sijui atajisikiaje

Na hii ndio JF zaidi ya uijuavyo
 
Haraka ya nini?inawezekana kuna kitu anaficha hapo,ukiingia kichwa kichwa inakula kwako.
 
Habari zenu kwa kila mmoja,

Naam bila kupoteza muda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaani, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakini huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi.

Dada wa watu bila hiyana akaja, Kweli tukaonana siku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kiasi na sikuamini kama ni binadamu wa kawaida nilifikiri ni jini.

Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mimi, siku hiyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumbani kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane.

Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizuri kwanini anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizuri je kwa wengine atashindwa vp?

Japo nimejaribu kumpeleleza sana kazini kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mimi nampenda ila imani naye sina naomba ushauri wenu.
Wewe ulivyoweza kuvua yako wakati hamfahamiani hilo halikupi mashaka ila la yeye kukuvulia chupi? kwani wew lengo lako la kumuita na umpeleka hotelini lilikuwa ni nin? kama ulitaka kufahamiana tu kwani kulikuwa na ulazima wa kuchukua chumba,akaomba umpeleke kwako hukuona shida amepafahamu sasa ugumu umekuja kwako kwenda kupafahamu kwao mkatambulishane au wewe ulitaka uendelee kumgegeda huku ukisingizia mnafahamiana vizuri? kama ambavyo hukuogopa kumgegeda wakati mfahamiani ivyo hivyo unatakiwa ukajitambulishe kwao mtafahamiana mbele ya safari over!
 
Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
Sasa kama mlikubaliana hili kwanini mnashindwa kukubaliana? haya unayotuambia hapa yeye umemueleza na mkajadili pamoja?
 
Hamna watu waminifu na wenye upendo kama manesi....utapoteza bahati kubwa sana kwa utoto wako....be like a man
 
acha uroho

Yeye kapata mtu muungwana, mkarimu asiye na chembe ya choyo then analeta mapozi.
Wengine kuku na bia ziliwahi kunywewa halafu nikaambulia manyoya (demu alisepa), kapata mteremko aache longo longo!
 
sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??

kabla hajaja huko mkoani kwako ulimweleza kama mnapiga na kusepa au ni mawazo yako binafsi???? maana ungemwambia mapema kama habari ndo hyo am sure usingekuwa hapa jukwaani kuomba ushauri....angechagua mwenyewe kusuka au kunyoa.
 
Binadamu wote wanaanguka dhambini. Kweli ni tabia mbaya kuvuana nguo siku ya kwanza, najaribu kufikiria, japo kweli "chemistry" ipo kwa njia ya sms, calls ila bado kuonana tu na kuvuana chupi ni udhaifu mkubwa..na baadhi yetu tumeangukia hapo japo mara moja, ni aibu kwa kweli...

Najaribu kufikiria huyo mdada akisoma uzi huu atajisikiaje, au umekuja na ID nyingine?
 
Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana

1. Wewe ulikuwa na malengo gani na huyo mrembo kabla ya kuonana?

2. Je, baada ya kuonana na "kumjua" malengo yako kwake yalibadilika? Kivipi?

3. Kwa nini unadhani baada ya "kumjua" siku ya kwanza kukutana hafai kuwa mke?....wewe ulitazamia mjuane baada ya mda gani?
 
Hamna watu waminifu na wenye upendo kama manesi....utapoteza bahati kubwa sana kwa utoto wako....be like a man

acha kuwafagilia bhana nyie si ndo mnawagegeda
 
Yeye kapata mtu muungwana, mkarimu asiye na chembe ya choyo then analeta mapozi.
Wengine kuku na bia ziliwahi kunywewa halafu nikaambulia manyoya (demu alisepa), kapata mteremko aache longo longo!

ww kama upo serious ni mp namba yako nikuunganishe naye ili tubadilishane matatizo
 
Back
Top Bottom