Hebu nipeni ushauri wanajamvi

Hebu nipeni ushauri wanajamvi

chkua maamuzi ya busara ya bla kukulpka coz mwshowe ni ww utakae lia na dunia yko pke yko
 
1. Wewe ulikuwa na malengo gani na huyo mrembo kabla ya kuonana?

2. Je, baada ya kuonana na "kumjua" malengo yako kwake yalibadilika? Kivipi?

3. Kwa nini unadhani baada ya "kumjua" siku ya kwanza kukutana hafai kuwa mke?....wewe ulitazamia mjuane baada ya mda gani?

sikuwa na malengo naye nilitaka kupiga na kusepa. Kuwa mke anasifa zote na ni mzuri kweli ila sina iman nayeye kama ni mwaminiifu au ni kicheche
 
Cha msingi fanya uamuzi wa busara ambao hutakuja kujutia na kama humtaki tena just tell ha da truth rather than wastin'ha tym!!!
 
Kuna watu wachache sana wanaotoa ushauri.............. Lakin kuna mijitu imekazana kulaumu tu hebu tofautishen mke wa kupiga na kusepa na mke wa kuoa. Kuna mijitu inataka kwavile tulisha fanya tendo basi lazima nioe. Kwan nyie mmegegda wangapi na mmewaacha? Wengne mmewatia mpka mimba na mumetelekeza watoto mmeenda kuoa wengne! Nyie vp bhana punguzen lawama na matusi kama huna cha kushauri tembea ayaah mula!
 
sikuwa na malengo naye nilitaka kupiga na kusepa. Kuwa mke anasifa zote na ni mzuri kweli ila sina iman nayeye kama ni mwaminiifu au ni kicheche

Mkuu naomba unisaidie kidogo, kwa nini useme huna imani naye? Au kwa vile ulimpata mtandaoni?
 
Hebu kaa kimya wewe, ushawahi kuona wapi mzinzi anapewa ushauri!!!

We pimbi unaonekana ni kitombi tena mzinzi mkubwa ngoja nipate wasaa tu, nitarudi hapa nikitulia vizuri...

wewe kama imekukera kaa kmya mzinzi nan?? Ungekuwa karibu ninge kupiga vichwa karyamana
 
Yan ww c mzma, umekutana na mdada wa jf mmefanya hayo yote then unayaleta tena humu.
Akiiona hii thread unadhani atakuwa na hamu na ww tena.
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyomlopokaji.!!
 
mhnm 1st day kuonana mkapeana..Ladies kuweni expensive muda mwingne.mki2pa kirahisi 2nawaona hamja2lia.Bora mtusumbue 2one mnaringa kuliko kuwaona cheap.Ona sasa jamaa anaona a lady hafai coz kamgegeda kiraisi.
 
Mkuu naomba unisaidie kidogo, kwa nini useme huna imani naye? Au kwa vile ulimpata mtandaoni?

unajua mkuu kitendo cha kuonana mtandaoni, kuvuana nguo pasipo kufahamiana vizur tena anataka ndoa wakat hanijui tbia yangu nami smjui tabia yake. Nilimpeleka nyumban kwangu lakin yale sio makaz yangu kamili ni kageto huwa nafikiaga na hakana chochote ndani zaid ya kitanda na kasofa kadogo
 
Yan ww c mzma, umekutana na mdada wa jf mmefanya hayo yote then unayaleta tena humu.
Akiiona hii thread unadhani atakuwa na hamu na ww tena.
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyomlopokaji.!!

aisee! Hawez kugundua nmetumia high que
 
We endelea kuenjoy mapenzi dogo. Mapenzi sio hesabu ndio uanze kutafuta formula sijui
A=pie square / 4
@
Enjoy mapenzi mdogo wangu, ila chunga afya yako
 
WAKATI UKO 6x6 KWA MARA YA KWANZA HUKUOGOPA UJE UOGOPE KWENDA KUTAMBULISHWA???????? NDIO NYIE MNAOTAKA KUONJA ONJA NA KUOGOPA MAJUKUMU. MARA OHOHH NIMEVUTIWA, NI MZURI, UKALALA NAE, WE HUJUI KULALA NA MTU NI HATARI KULIKO KUTAMBULISHWA? JE ANGEKUWA NI JINI SI ANGEKUMALIZA? HUNA LOLOTE KUJIZUNGUSHA KOTE UNAOGOPA MAJUKUMU.
 
unajua mkuu kitendo cha kuonana mtandaoni, kuvuana nguo pasipo kufahamiana vizur tena anataka ndoa wakat hanijui tbia yangu nami smjui tabia yake. Nilimpeleka nyumban kwangu lakin yale sio makaz yangu kamili ni kageto huwa nafikiaga na hakana chochote ndani zaid ya kitanda na kasofa kadogo

wewe ni muongo na hatari sana.
 
Back
Top Bottom