Hebu mshauri huyu mama

Hebu mshauri huyu mama

Pole!

KOSA lako ni kubaki singo mama baada ya kufiwa. Huwezi kulea pekeako na hukai mda wote home.

USHAURI; nenda vyombo vya sheria watakusaidia maana umeshindwa kufanya maamuzi ya pekeako na sasa jambo lipo public, chochote kibaya ukitaka kufanya utakuwa accountable! !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As a Christian [you] kutoa hizo mimba is committing an intentional sin and intending to repent.

Yaani utoe hizo mimba intentionally halafu uombe toba ili urudi kwenye u kristo upya au?

That pregnant is not sin itself, unachoenda kufanya ndiyo dhambi maana umepewa kipimo cha Imani hapo.

Hapo Imani yako itakua ipo kuendana na nani wanakuzunguka ama watakuonaje, yaani utajisikia aibu nje kiasi kwamba utoe mimba ili nje uonekane vizuri halafu moyoni uishi na dhambi.

Tusimjaribu Mungu.

Haki ya watoto watakao zaliwa unaweza kumpa mtu mwingine hiyo haki akawa Baba yao tofauti na mwanao wa kiume. Mwanao wa kiume anyimwe haki ya hao watoto. Kama isaka alivompa Yakobo uzaliwa wa Kwanza ilihali physically ni impossible lakini ilikubaliwa kiimani. Then huyo mtoto wa kiume akaishi mbali Sana akakulia huko.

Ikiwezekana watoto wakizaliwa waishi na Bibi, mamazao waishi kwingine hadi wawe na maisha yao wataolewa na kuwa na familia zao lakini watoto zao wa Kwanza wajulikane Baba yao(zao) we/mwingine. You can set up and grow your daughters to accept this.
 
Ushauri wangu hapo kwa vile ni watoto basi ni vizuri ukaenda kwenye vyombo vya sheria ili uweze kupata msaada wa kisheria dhidi ya maamuzi gani unapaswa kuyachukua, maana bila ya hivyo wakikua watu wazima watakulaumu wewe kama mama yao na mwangalizi wa pekee kwa kushindwa kuwaangalia na kuwalea kwenye malezi mazuri licha ya kuwa umewalea ukiwa mpweke...
Ndio suluhisho atakae mshauri asiwatoe nae akamjaze mimba dada yake ndio atajua uchungu wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As a Christian [you] kutoa hizo mimba is committing an intentional sin and intending to repent.

Yaani utoe hizo mimba intentionally halafu uombe toba ili urudi kwenye u kristo upya au?...
Asante kidogo au sana umetoa ushauri huyu Mama asiangalie jamii itamwangaliaje bali aangalie !Mungu atamwangaliaje yeye mwenyewe huyo Mama na Awe jasiri kuikabiri hii dhambi no matter what jina la Mungu lazima libarikiwe

Na kwa ushauri zaidi awaone viongozi wa Dini achukue Ushauri wa Kufanya asipanic !Mungu anaishi na Mungu yupo

Huo ndo ushauri wangu asiwe tayari kuua viumbe visivyokuwa na hatia no matter what Jina La Mungu lazima libarikiwe, huyu Mama kapimwa kiimani lazima na Ukristo alio nao itabidi authinitishe kwa matendo ndo majaribu yaliyomkuta,Ayubu alishinda basi imemkuta huyu Mama

Aende kwa Viongozi wa Dini na watampa Mwongozo
Ama Kweli korona imekuja ma mengi na Watoto wa kike wajiangalie hichi kipindi wengi watapata mimba wasipokuwa makini

pujo njoo uone hili jaribu zito( kila siku wimbo ni ule ule sex kabla ya Ndoa ni hatari ndo jaya sasa yanatokea.oooh kula kimasihala,kimasihala? Kujisifia uasherati?)
 
Sawa hapa nitashauri kama bro maarufu wa kitaa na maskani za wauza kahawa

Kwanza, nitoe pole kwa maswahibu hayo

Pili, nikupongeze kwa hatua ulizochukua awali bila papara wala panic. Kwani sasa tunaujua ukweli, wana mimba na mhusika ni kaka yao.

Tatu, niseme tu, huyo dogo wa kiume amebaka dada zake wenye umri chini ya miaka 18 na wanafunzi. Ushahidi ni hizo mimba na mwenyewe amekiri, peleka polisi jela miaka 30, akitoka kanyooka.

Nne, hao madogo wakike ni wahanga wa kubakwa, hizo mimba mnaweza toa, hivyo vitoto hata vikizaliwa vitakufa tu kwasababu za kibaiolojia(When parents are blood relatives, there is a higher risk of disease and birth defects, stillbirths, infant mortality and a shorter life expectancy ), haviwezi ishi, so badala ya kubeba huo mzigo miezi tisa for nothing, vyema kuutoa, kama kuna sheria inaruhusu daktari kuomba kibali cha mahakama ili kuzichoropoa na kuokoa uhai wa mama zao, bora ukatumia mwanya huo.

Tano, someone must pay the cost, sacrifice the boy, save the daughters. End of story.
 
Hayo yaliyotokea ni ushetani mkubwa nyumbani kwake kuliko kuitoa hiyo mimba. Dawa ya moto ni moto. Wameshachuma dhambi kubwa atoe tu hiyo mimba kuliko aibu itakayomtokea mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa hapa nitashauri kama bro maarufu wa kitaa na maskani za wauza kahawa

Kwanza, nitoe pole kwa maswahibu hayo

Pili, nikupongeze kwa hatua ulizochukua awali bila papara wala panic. Kwani sasa tunaujua ukweli, wana mimba na mhusika ni kaka yao...
Inbreeding inaongeza chance ya kupata magonjwa hasa ya kurithi Ila hamna guarantee kuwa offsprings watakufa, na kuhusu kumfunga mwanae haitasaidia chochote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa watu mmebase kwenye imani sana sina chakuhukumu ila huezi elewa uzito wa hichi kiatu mpaka kikutokee ...... ishatokea amna wakulaumiwa. Ushauri wangu hizo mimba nizakutolewa haraka sana (sioni faida yeyote uko mbeleni zaidi ya madhara ,majuto,na doa kubwa ambalo haliwezi futika wewe ni mwanamke unaelewa zaidi mimba mpaka miezi tisa sio mchezo).

Pia tafuta mwanasaikolojia akae nao ...afu wazazi tuwe waelimishaji wa watoto kwanzia utotoni mambo ya condom ni muhimu sana. Jamani nyie wafia dini muache kujisemea hili jaribu la imani ipi yesu alikuta watu wanafanyia biashara hekaluni kwanini hakuomba mungu kuhusu jaribu ilo bali alifanya maamuzi magumu hamna namna yeyote unaeza ishi na mawazo kwamba unawajukuu wametoka kwenye familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa yalokukuta huwa haya mambo hutokea hasa watoto wakiwa na mazoea ya uzungu na pia mzazi akiwa bize hawaangalii kwa ukaribu watoto, huyo kijana hiko ndo kipindi anakuwa na ashki ya hali ya juu kwahiyo wanavyobaki wenyewe huwa hao dada zake hujiachia yani huvaa nguo za kutamanisha hasa wakijua si kaka yao.

Hivyo kaka huwatamani na michezomichezo ya apa na pale mabinti nao ndio Wana joto mwilini hatari hujikuta washafanya na kuanza kuzoea na mmoja akiona mwenzake nae hutaka akidai asipofanyiwa atasema.

USHAURI, fanya uzitoe hizo mimba mapema alafu fatilia sababu kuu ya wao kupeana mimba, kwanza ujue kuwa je aliwabaka namaanisha kuwalazimisha kwa nguvu au la , na ukigundua kawalazimisha pia ufatilie kuwa ni kwa sababu ya matamanio au Kuna sababu nyingine pia uongee na huyo kijana wako , na Kama wameridhia pia ufatilie sababu ujue usije tumia hasira na hisia ukadhuru familia yako kwa mikono yako kumbe Kuna sababu nyingine sio akili zao.

Pia fanya toba ya kweli kwa mungu wako kwa uliokosea kwa kujua na kutokujua na pia yaliotendwa na wazazi wako unayoyajua na usiyoyajua, mwishowe kuwa karibu na wanao kwa msaada wa mungu wako na uwafanyie toba, pia nao uwaeleze walichofanya ni chukizo kubwa kwa mungu watubu toba ya kweli.

Nawakilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanamke dunian ambae hajawai toa mimba..fikiria tafakar utaona tuu katika mantik.wote mmetoa mimba

Yaan hata kama umecheza peku.kesho yake ukanywa dawa ya kuharib.umetoa mimba

Sasa wew mama unachoogopa nn...au la hii ni chai kamaa chai zingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HABARI NDUGU WALIMU, WAZAZI/WALEZI. NAOMBA NIWASHIRIKISHE KUMSAIDIA MAMA HUYU KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JUU YA MAJANGA YANAYO MUANDAMA. SHUKRANI.

Mimi ni mwanamke wa miaka 54, mjane na mama wa watoto watatu - mvulana wa miaka 17 na wasichana wawili mmoja miaka 15 na mwingine miaka 13. Mimi ni mtumishi wa serikali wa kimataifa na ni mkristo mzuri.

Siwaandikii kwa ajili ya kutafuta mchumba bali kuwatumia/ kuwashirikisha kilio changu cha moyoni wazazi wote na pia kuwaomba ushauri.

Kiuhalisia, ninaishi na watoto wangu watatu, katika nyumba yangu, mara nyingi nakuwa ofisini siku nzima (mchana wote) isipokuwa siku za wikiend ambapo ninakuwa nyumbani.

Na tangu mamlaka zimezuia madarasa (watoto wasiende shule), nimewazuia watoto wangu wasitoke nje, wamefichwa tangu mwanzo, kuna msichana tu wa usafi ambaye anakuja kufanya kazi na kuondoka.

Na kwa watoto, ninawaangalia kwa ukaribu sana lakini leo nimezidiwa/nimeelemewa na hichi kinachotokea.

Kila mwezi huwa naangalia kama binti zangu wapo salama, sababu binti mkubwa mara nyingi huwa na maumivu ya tumbo anapokuwa mwezini, hivyo namsaidiaga kila muda.

Lakini cha kushangaza mwezi wa nne hakuonesha chochote, na nikagundua dalili za mwanzoni za ujauzito, hivyo jana asubuhi nikamwambia anipe mkojo wake kidogo, halafu niufanyia kipimo cha ujauzito na majibu yakawa chanya.

Nikanyamaza, jioni nikaenda chumbani kwake kujadili nae kwa upole ili kujua nani anahusika na huu ujauzito.

Kilichonishangaza sana, machozi yakiwa yanatiririka machoni mwake aliniambia kwamba ujauzito ni wa kaka yake. Na kwamba tangu kusitishwa kwa masomo hichi ndicho wanachokifanya nyumbani wakati ambapo sipo nyumbani na pia hata na mdogo wao. Na pale ndipo nilipokumbuka kuwa na yeye (binti mdogo) hajaingia mwezini kwa muda mrefu sababu yeye alivunja ungo akiwa na miaka 11. Kwahiyo nikimfanyia vipimo na yeye pia, kwa bahati mbaya majibu yalikuwa chanya pia.

Kwa mara nyingine, nikiwa mpole niwezavyo, nilimuita kijana wangu kukuuliza nini kilitokea.

Alikiri mahusiano na dada zake, na hayupo nyumbani tangu usiku uliopita na sikusikia chochote tokab kwake.

Nahitaji sana ushauri wenu, nimechanganyikiwa, ninaona ndoto zangu zikizimika baada ya miaka mingi ya kuhangaika. Mume wangu amefariki tangu mwaka 2009 na Mimi ndiye nahusika na kila kitu.

Sijui chakufanya, ninataka kuwaona watoto wangu wakikua pamoja na kuwa watu wanaowajibika lakini kwa hiki kinachotokea sina nguvu iliyobaki ndani yangu.

Nikifikiri juu ya kuwatoa mimba lakini mimi ni mwamini na imani yangu hainiruhusu kufanya hivyo.

Nimechanganyikiwa, nifanye nini?
Pole kwa yanayokusibu mimi nadhani kwenye malezi pia uliyumba uliposema kuna mdada anakuja kufanya usafi nikaona tayar kuna tatizo watoto wa3 wa umri huo hawawezi kweli umewadekeza mno. They can never be good wives or husband ndo mana wakaona ni sawa tu kuchapana, si wako loose kila kitu wanafanyiwa wanafungiwa ndani kama mayai, ushukuru wako sex mbili tofauti wangekua mashoga au lesbians. Simply parenting ulibugi toka utotoni

Back to the scenario kama sio chai fanya tu abortion na kama ni chai ulete na chapati japo itakua imewasaidia wengi malezi ya ovyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom