Hebu mshauri huyu mama

Hebu mshauri huyu mama

Pole sana mama. Nakushauri nikiwa pia mtu mzima almost same age.

Tafta daktari, mwenye uzoefu wa kutosha, toa hizo mimba haraka kable hazijakua. Otherwise, you are willing to face other problems

Ni kama ushauri mbaya,lakin that is what you deserve to do immedeately.
 
Pole sana mama kwa hili zahama, kwa upande wangu naamini kwamba sio kila maamuzi utakayofanya katika maisha yako yatakuacha salama, mengine yanauma sana kama hili utakalofanya kwa kuepusha aibu hii.

Fanya abortion kwa hao watoto, najua moyo wako unavuja damu hasa ukifkiria uhusiano wako na MUNGU, But close your eyes and do it. Hujawa mdhambi kumzid Sauli.
 
Mama zitoe izo mimba, ikitokea wamezaa hawatokua na furaha kamwe katika maisha yao hasa jamii ikijua ukweli.

Pia ki biologia ao watoto wakizaliwa watakua na matatizo makubwa ya genetic disorder.
 
Dah! aisee kuna umuhimu wa kujifunza time travelling labda angejua nini kitatokea mbeleni,

Kitu kilichofanyika ni majuto makubwa sana kwa family ila amini kila jambo linatokea kwa sababu zake naomba usitoe hizo mimba kama hazistahili kuwepo zitatoka zenyewe jitahidi kumtafuta psychologist aanze na wewe hadi wanao af muanze kuizoea hiyo hali kama tunavyoizoea corona.

Usiangalie majirani na ndugu watasema nini kuhusu wewe ishi maisha yako hilo jambo limetokea ni kipimo kikubwa sana cha Imani unayosema unayo na kumbuka kuwa Hakuna jaribu gumu litalokosa mlango wa kutokea,

Nikupe moyo usitoe mimba ukaua viumbe wasio na hatia,hili nalo litapita...

Sikiliza nyimbo ya Nikki mbishi-kijusi
 
Kulea mimba hizo ni kurutubisha tatizo kubwa zaidi kwa ajili ya baadaye.

Siku wajukuu wakianza kutaka kujua baba zao sijui utawaambia nini.

Binti zako siku wakipata wachumba na kwa nia njema watamani kujua baba wa mtoto(kwa kila mmoja), baada ya majibu ya uongo watajawa na majuto ambayo lazima utaonekana ni shehemu ya tatizo.

Sijawahi kumshauri mtu ku'Abort' lakini katika hili uamuzi ni wako.

Nguvu ya Sayansi nayo ipo, uwezekano wa kupata matatizo ya genetics kwenye uzao wao ni mkubwa kwani hiyo ni Pure inbreeding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoe tu hakuna namna. Yaani unafungia binadamu wa miaka 17 ndani kwa kizazi cha leo.

Omba mungu awe mwanachama wa chawaputa nje ya hapo majibu yatakuwa hayo tu. Makosa yako ni kuwa rock dowin watu waliokwisha balehe kwa muda usiojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawashauri wazazi wengine ambao bado hayajawakuta yakwamba watoto wasiwaalee hovyo hovyo maisha ya kizungu kwa sana watoto wanatakiwa kupata malezi ya kidini ambayo yana hofu ya mungu zaidi.zinaa imekuwa cheap sana watoto wa siku hizi hata hawafahamu madhara ya zinaa wao wanaiga tu kutokana na mazingira
 
Mama sio wew kuna mama juz kati apa katoa mabint zake wawil mimba na michezo hiyo hivyo hivyo nikwambie shit is real na kama mzazi kuwa cruel kama unatak future ya watoto wako kama utak waache wazae wawe mabar maid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishangaza ni ujasiri wa huyo mama, yaani mpaka kapata muda wa kushirikisha watu? Aisee kwanza siku hiyohiyo ningewapeleka hospitali ili zitolewe kwa utaalam mkubwa sana.

Baada ya hapo ndiyo nianze kujiuliza kweli mimi ni mtu wa dini kweli? Ambaye nimeshindwa hata kuwapa wanangu elimu ya zinaa na hofu ya Mungu. NATUBU NA KUANZA UPYA. Pia anipe hekima na maarifa namna ya kuwalea watoto wa namna hii.
 
Watoe mimba na hilo Toto la kiume litafutie majambaz waliue au wape polisi hela walitengenezee kesi kubwa, mimi toka nikiwa na miaka 14 mimba na ukimwi ni vitu nilivyokuwa naviogopa sana.

Nimeanza kuvaa kondom katika umri huo, sasa hilo lina miaka 17 hata halikuwaza kama litàwapa mimba wenzake, ukishndwa nilyokueleza hapo juu basi lifukuze nyumbani.
 
Najiuliza uuyo mtoto wa kiume alikuwa anawaza nini hadi kuwatiabmimba dada zake!!?

Huyu Mama ana wakati ngumu sana maishani mwake! Namshauri atafute ushauri kwa viongozi wa dini na sheria kwanza.

Kuwatoa mimba dini inamsuta na ni kinyume cha sheria. Akiwaacha wakazaa, wajukuu zake watakuwa haramu maana ni zao la uasherati!!

Nawaza tu...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mbona Lutu alizaa na binti zake? Sitetei kilichotokea na inasikitisha sana. Hadi hapo haijulikani hiyo njemba kama iko hai au imejidhuru.

Hekima inayotakiwa kwenye huo mkasa haipo JF kwa sasa.
 
Hii itakuwa ni aibu kwako, sura yako utaificha wapi kama ndg, jamaa na marafiki wakijua?

Na vipi hao watoto wakizaliwa watakuita nani?

liwalo na liwe ili kuepusha aibu ni bora hizo mimba zitolewa kwa umakini mkubwa ili yasitokee matatizo mengine.

Pambana dhidi ya hilo, hakikisha baada ya kusolv tatizo tafuta njia ya kuwafanya wasiwe karibu na ikibidi tafuta ndugu au dada wa kazi akae hapo muda wote



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kweli nimekosa ushauri? Nimevaa viatu vya huyu mama havinitoshi. Mungu unisamehe ila hizo mimba zitolewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom