Hebu mshauri huyu mama

Hebu mshauri huyu mama

Duh!!!. Huyo mtt wa kiume ss amefanya vibaya. Kama ni shetani bs amemkamata. Inakuwaje anatembea na dada zake?. Huu ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.
Kijana amefeli, ila pia na Dada zake hawa kuona hilo? Huenda dada zake ndo walimtega tusimlaumu tunhuyo kijana.
 
HABARI NDUGU WALIMU, WAZAZI/WALEZI. NAOMBA NIWASHIRIKISHE KUMSAIDIA MAMA HUYU KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JUU YA MAJANGA YANAYO MUANDAMA. SHUKRANI.

Mimi ni mwanamke wa miaka 54, mjane na mama wa watoto watatu - mvulana wa miaka 17 na wasichana wawili mmoja miaka 15 na mwingine miaka 13. Mimi ni mtumishi wa serikali wa kimataifa na ni mkristo mzuri.

Siwaandikii kwa ajili ya kutafuta mchumba bali kuwatumia/ kuwashirikisha kilio changu cha moyoni wazazi wote na pia kuwaomba ushauri.

Kiuhalisia, ninaishi na watoto wangu watatu, katika nyumba yangu, mara nyingi nakuwa ofisini siku nzima (mchana wote) isipokuwa siku za wikiend ambapo ninakuwa nyumbani.

Na tangu mamlaka zimezuia madarasa (watoto wasiende shule), nimewazuia watoto wangu wasitoke nje, wamefichwa tangu mwanzo, kuna msichana tu wa usafi ambaye anakuja kufanya kazi na kuondoka.

Na kwa watoto, ninawaangalia kwa ukaribu sana lakini leo nimezidiwa/nimeelemewa na hichi kinachotokea.

Kila mwezi huwa naangalia kama binti zangu wapo salama, sababu binti mkubwa mara nyingi huwa na maumivu ya tumbo anapokuwa mwezini, hivyo namsaidiaga kila muda.

Lakini cha kushangaza mwezi wa nne hakuonesha chochote, na nikagundua dalili za mwanzoni za ujauzito, hivyo jana asubuhi nikamwambia anipe mkojo wake kidogo, halafu niufanyia kipimo cha ujauzito na majibu yakawa chanya.

Nikanyamaza, jioni nikaenda chumbani kwake kujadili nae kwa upole ili kujua nani anahusika na huu ujauzito.

Kilichonishangaza sana, machozi yakiwa yanatiririka machoni mwake aliniambia kwamba ujauzito ni wa kaka yake. Na kwamba tangu kusitishwa kwa masomo hichi ndicho wanachokifanya nyumbani wakati ambapo sipo nyumbani na pia hata na mdogo wao. Na pale ndipo nilipokumbuka kuwa na yeye (binti mdogo) hajaingia mwezini kwa muda mrefu sababu yeye alivunja ungo akiwa na miaka 11. Kwahiyo nikimfanyia vipimo na yeye pia, kwa bahati mbaya majibu yalikuwa chanya pia.

Kwa mara nyingine, nikiwa mpole niwezavyo, nilimuita kijana wangu kukuuliza nini kilitokea.

Alikiri mahusiano na dada zake, na hayupo nyumbani tangu usiku uliopita na sikusikia chochote tokab kwake.

Nahitaji sana ushauri wenu, nimechanganyikiwa, ninaona ndoto zangu zikizimika baada ya miaka mingi ya kuhangaika. Mume wangu amefariki tangu mwaka 2009 na Mimi ndiye nahusika na kila kitu.

Sijui chakufanya, ninataka kuwaona watoto wangu wakikua pamoja na kuwa watu wanaowajibika lakini kwa hiki kinachotokea sina nguvu iliyobaki ndani yangu.

Nikifikiri juu ya kuwatoa mimba lakini mimi ni mwamini na imani yangu hainiruhusu kufanya hivyo.

Nimechanganyikiwa, nifanye nini?
Nenda kwa doctor atakushauri, ila hiyo mimba haitakiwi kuendelea kukua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom