Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,159
- 1,053
Wazee wa masifa hao,, Labda Mahoo kidogo lakini Babu Tarimo mmzee wa masifaaa madai yake anapiga factor tuu WOTE HATUNA AKILI NA HATUTAIWEZA IRRIGATION MPAKA MIAKA ZAIDI YA 15..
Haahaha! nakumbuka Prof TARIMO ANDREW alisimamia SP yangu ya undergraduate mbona cha moto nilikiona,,,uzuri nilikuwa nafata maelekezo yake na kwenye course zake zingine sikufanya ajizi
Haahaa, Dr. Mwambuli anafundisha simple simple yupo social Ila kwenye mitiani no fair......Na mkubali Sana huyu dacta kijana wa IFMDr. Talib Zahoro na Dr. Mwambuli asee sitokuja kuwasahau nyie kabisa pamoja na F.D.Mhanza pale IFM.
Geography udom hii, namkumbuma proof kaswamila
Dr Nyamagere siku hzi mzungu sana yule madamMs Nyamagere,sijua ameshakuwa Dr au Prof kwa sasa ila huyu siku ya kwanza mwaka 2006 tu akatuambia, kila mmoja wenu hapa ana B juhudi binafsi itakupatia B+ na A.
Mlimani,alishastaafuWawapi huyu CAWM nini
COETWawapi huyu CAWM nini
Huu mwandiko wa Sinare kabisaWawapi huyu CAWM nini