one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,216
- 1,795
Umeshidwa kumaizi hiyo ni common error!!?
Juan na Jwan.....
Jwani Timothy Mwaikusa.
Prof. Tarimo, Dept. (DEST) amenifundisha design of irrigation systems, irrigation water management na irrigation structures.
Prof. Mahoo, Dept. (DEST) amenifundisha rain water harvesting, design of retention and small reservoir dams pamoja na drainage.
Prof. Kahimba, Dept. (DEST) amenifundisha analysis and design of farm structures.
Eng. Stanislaus Materu, Dept. (DEST) amenifundisha engineering drawing na fluid dynamics.
Wote hawa wanapatikana pale SUA, kwa kweli wanajitoa sana katika kufundisha, naweza kusema wameacha alama kubwa sana katika maisha yangu ya taaluma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe utakuwa umesoma kile chuo ambacho ni jalala alikookotwa yule Prof. wa jalalani! Yaani hata kuandika "ugomvi" huwezi?Asante kwa kunikosoa! Ila sikuandika 'msijari,' niliandika 'usijari' ugonvi wa r & l eeh?
Ndugu usinikumbushe habari ya Ngaillo.Nilikua nasoma pale Ushirika huku nafanya kazi zangu.ndugu,kutokana na ujuaji na safari zisizokauka muda mwingi nilikua nakosa vipindi vyake.mwisho wa siku nikafeli somo lake.nikamfata privately kule ofisini kwake.nikamuomba kwa unyenyekevu sana na nikamuelezea hali halisi ya maisha yangu.Jinsi alivyokua mkali sikuamini kama aliniokoa.pale pale alinipa mtihani nikakaaa ofisini kwake na wenzangu wawili tukafanya na matokeo yalipotoka nikafaulu.Sitokusahau Ngaillo.sio kwa biti lile na mikwara ile.Nilijua nimeshafeli na narudia mwaka.Ubarikiwe kokote ulipoProf Chambo (Rip), Prof. Magigi huyu mpaka leo naishi principle zake, Prof. Sife the best, Mwl wangu Dr Kazungu, Mwalimu wangu QM Mwal. Ngailo,
Nawapenda sana nyote! Yo the best.
Chuo kikuu cha Ushirika Moshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo gani hicho bana? Cha msingi msg imefika, ila asante kwa kunikosoa ktk uandishi..! Haya, weka mwalimu wako alikuwezesha uwe vizuri mpaka kunikosoa mimi! Lazima kuna cha kumshukuru huyo mwalimu si ndio eeh?Mkuu wewe utakuwa umesoma kile chuo ambacho ni jalala alikookotwa yule Prof. wa jalalani! Yaani hata kuandika "ugomvi" huwezi?
Ilikuwa ni supplementary exams?Ndugu usinikumbushe habari ya Ngaillo.Nilikua nasoma pale Ushirika huku nafanya kazi zangu.ndugu,kutokana na ujuaji na safari zisizokauka muda mwingi nilikua nakosa vipindi vyake.mwisho wa siku nikafeli somo lake.nikamfata privately kule ofisini kwake.nikamuomba kwa unyenyekevu sana na nikamuelezea hali halisi ya maisha yangu.Jinsi alivyokua mkali sikuamini kama aliniokoa.pale pale alinipa mtihani nikakaaa ofisini kwake na wenzangu wawili tukafanya na matokeo yalipotoka nikafaulu.Sitokusahau Ngaillo.sio kwa biti lile na mikwara ile.Nilijua nimeshafeli na narudia mwaka.Ubarikiwe kokote ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh Masesa junior, mzee wa shauri ya Mungu na neurophysiology yake! Yuko vizuri sana nafikiri kwa Tz yote, sidhani kama tunaye mbadala wake! I stand to be corrected!What about Ntongwisangu ?Prof Masesa?