Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Prof lwambuka
Pale mjini CoET (udsm)
Akifundisha STATICS (sc 121)
Alikuwa fundi sana kukufanya uelewe

May his soul rest in eternal piece
 
Ds hiyo

Hahahaha jamaa alisema mkewake alimpata chuo akawa anasema tuwe makin na wanafunz wemzetu three yrs lazima utoke na mke.

Jamaa alikuwa anapenda kujisifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewake ni mtu poa sana Hadi naomdoka UDSM Alikuwa Associate Professor department of Zoology!!! Nae anaitwa Prof Rugumamu

Typed Using KIDOLE
 
Jwani, sio Juan πŸ˜‚

 
Dr James Mdoe now Prof.
Dr Mgina
Dr Mdachi
Prof Muhinzi
Dr Gamba
Dr Nyundo(sitakusahau kwa kuleta pepa Tofauti Tofauti wakati wa Test) Ila Mwamba ulikuwa unajua hasaa


Typed Using KIDOLE
 
πŸ˜€πŸ˜€,vipi hukuchezea Supps za kutosha mkuu?nilikua natumia nguvu nyingi kuelewa AC 100 na 101 sitosahauuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…