Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Prof lwambuka
Pale mjini CoET (udsm)
Akifundisha STATICS (sc 121)
Alikuwa fundi sana kukufanya uelewe

May his soul rest in eternal piece
 
Ds hiyo

Hahahaha jamaa alisema mkewake alimpata chuo akawa anasema tuwe makin na wanafunz wemzetu three yrs lazima utoke na mke.

Jamaa alikuwa anapenda kujisifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewake ni mtu poa sana Hadi naomdoka UDSM Alikuwa Associate Professor department of Zoology!!! Nae anaitwa Prof Rugumamu

Typed Using KIDOLE
 
Jwani, sio Juan 😂

Proff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu,sijamsahau mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema,
sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi...
Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but....
wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi....
kabla ya kufika vyuo...
see you in the next life
 
Dr James Mdoe now Prof.
Dr Mgina
Dr Mdachi
Prof Muhinzi
Dr Gamba
Dr Nyundo(sitakusahau kwa kuleta pepa Tofauti Tofauti wakati wa Test) Ila Mwamba ulikuwa unajua hasaa


Typed Using KIDOLE
 
DR SIASA ISSA MZENZI WA UDSM MZEE BABA AKIKUFUNDISHA AC 100 NA AC 101 FIRST YEAR KULE B.COM YANI HAPA MZEE BABA NDIO UTAJUA NINI MAANA YA MAKABATI YA ACCOUNTS YANI MIE NIMESOMA HGL MPAKA NAMALIZA BCOM 2012 SIKUWAHI KU BALANCE BALANCE SHEET STATEMENT HATA MOJA MPAKA NAMALIZA HADI MASTERS.ILA NIKAJA NIKAGUNDUA KUWA MARKS ZA KWENYE MITIHANI YA ACCOUNTS HUWA ZINAPATIKANA KWENYE ZILE CORRECT ENTRIES.
😀😀,vipi hukuchezea Supps za kutosha mkuu?nilikua natumia nguvu nyingi kuelewa AC 100 na 101 sitosahauuu
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom