Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 83
Apology accepted broNilikosea! my apology
Apology accepted broNilikosea! my apology
Hah hah haaaa haha haha haaaa
Ya Mungu mengi how did you wake up?
Nitumie hiyo videoHhahahahahahahahaaa loojh
This one, scratch my ribs hehehehehehee.
Kuna clip moja niliiipata Whatsaap like amemaliza kutoa speech akawa anaondoka. Huku akiwa anaondoka DJ akaweka wimbo wa 50 cent unaimbwa..... umeniumiza sana sitaki kwenda naona umeshindwa kubadilika ooh.... basi akaanza kucheza akidai huo ni favorite song wake. Na anaucheza kuonesha watu hapo ukumbini kuwa bado ana stamina... afater some few steps while dancing akaruka juu miguu ikigeukia pembeni ... aahahahahahhaaaaa kila nikiiangalia hiyo video nacheka sanaa.
Sometimes being old is funny.
Wazee wa ligi wanaelewa hapa. View attachment 798159
Amekufa kimuziki acha kushituka..Ninaomba ushahidi wa kifo cha 20% please.
Kuna clip moja niliiipata Whatsaap like amemaliza kutoa speech akawa anaondoka. Huku akiwa anaondoka DJ akaweka wimbo wa 50 cent unaimbwa..... umeniumiza sana sitaki kwenda naona umeshindwa kubadilika ooh.... basi akaanza kucheza akidai huo ni favorite song wake. Na anaucheza kuonesha watu hapo ukumbini kuwa bado ana stamina... afater some few steps while dancing akaruka juu miguu ikigeukia pembeni ...
Angekuwepo Tyta ningemuomba aiweke hapa. Mie nilisha i delete kwenye simu yangu. Sijui nni mwingine anaweza iweka hapa, its a funny video.
Nitumie hiyo video
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya Mungu mengi