Hebu kenua kidogo... U relax...!!

Hebu kenua kidogo... U relax...!!

.
IMG-20180818-WA0045.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhahahahahahahahaaa loojh

This one, scratch my ribs hehehehehehee.

Kuna clip moja niliiipata Whatsaap like amemaliza kutoa speech akawa anaondoka. Huku akiwa anaondoka DJ akaweka wimbo wa 50 cent unaimbwa..... umeniumiza sana sitaki kwenda naona umeshindwa kubadilika ooh.... basi akaanza kucheza akidai huo ni favorite song wake. Na anaucheza kuonesha watu hapo ukumbini kuwa bado ana stamina... afater some few steps while dancing akaruka juu miguu ikigeukia pembeni ... aahahahahahhaaaaa kila nikiiangalia hiyo video nacheka sanaa.

Sometimes being old is funny.
Ana ngoma yake mwishoni anawauliza ,"do you want another rap?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom