20 ni malihemu taali
20% alilewa sifa haraka.. Pengine elimu na kabila vilichangia pia.. He was real talented...Oooh nakumbuka sasa, nimeusikiliza wimbo wake mmoja hapa...
Nakumbuka kuna Awards flani alishinda ila aliyepewa kadi yake asome jina lake akashindwa aidha atamke twenty percent au aseme asilimia 20, nakumbuka alikaa kimya kama sekunde kadhaa na baadae alitamka kwa kukosea na akarekebishwa.
Alikuwa na nyimbo nzuri zilizotulia.
May he rest in peace.
Kuna mwingine nimemkumbuka somebody KIDUMU, nae nyimbo mzake ziliwika.
20% alilewa sifa haraka.. Pengine elimu na kabila vilichangia pia.. He was real talented...
Amekufa lini?20 ni malihemu taali
Jamani 20 percent amekufa lini??Oooh nakumbuka sasa, nimeusikiliza wimbo wake mmoja hapa...
Nakumbuka kuna Awards flani alishinda ila aliyepewa kadi yake asome jina lake akashindwa aidha atamke twenty percent au aseme asilimia 20, nakumbuka alikaa kimya kama sekunde kadhaa na baadae alitamka kwa kukosea na akarekebishwa.
Alikuwa na nyimbo nzuri zilizotulia.
May he rest in peace.
Kuna mwingine nimemkumbuka somebody KIDUMU, nae nyimbo mzake ziliwika.
Ninaomba ushahidi wa kifo cha 20% please.20 ni malihemu taali