uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Nyingine mpya hii waliyoianzisha. Tuchukue tahadhali
Hhahahahahahahahaaa loojh
This one, scratch my ribs hehehehehehee.
Kuna clip moja niliiipata Whatsaap like amemaliza kutoa speech akawa anaondoka. Huku akiwa anaondoka DJ akaweka wimbo wa 50 cent unaimbwa..... umeniumiza sana sitaki kwenda naona umeshindwa kubadilika ooh.... basi akaanza kucheza akidai huo ni favorite song wake. Na anaucheza kuonesha watu hapo ukumbini kuwa bado ana stamina... afater some few steps while dancing akaruka juu miguu ikigeukia pembeni ... aahahahahahhaaaaa kila nikiiangalia hiyo video nacheka sanaa.
Sometimes being old is funny.
Hii clip ni ya Comedian anaitwa Teacher Mpamile sio Mu7
Irushie humu basiHhahahahahahahahaaa loojh
This one, scratch my ribs hehehehehehee.
Kuna clip moja niliiipata Whatsaap like amemaliza kutoa speech akawa anaondoka. Huku akiwa anaondoka DJ akaweka wimbo wa 50 cent unaimbwa..... umeniumiza sana sitaki kwenda naona umeshindwa kubadilika ooh.... basi akaanza kucheza akidai huo ni favorite song wake. Na anaucheza kuonesha watu hapo ukumbini kuwa bado ana stamina... afater some few steps while dancing akaruka juu miguu ikigeukia pembeni ... aahahahahahhaaaaa kila nikiiangalia hiyo video nacheka sanaa.
Sometimes being old is funny.
Huyu atakuwa mkoromije huyu[emoji15]
Huu mzimu huu [emoji15]
Nyie walozi mnaingia backwardcally
Amemechisha nguo na choo... Usoni na viatu + malumalu
hahahahahha