Mkuu hebu nidadavulie hapa maana nahisi kama Nina makengeza
20% yupi? huyu huyu wa asilimia ishirini?20 ni malihemu taali
Imenifanya nicheke sana
Hapa na mimi nimekaa nasubiri jibu, alikufa lini huyu mtu?Jamani 20 percent amekufa lini??
HahaNitumie nauli nikuletee hela yako
Unawajibu vizuri hivyo mimi nimewapa dozi sana hao
Huwa hawanijibu maana wataumbukaUnawajibu vizuri hivyo mimi nimewapa dozi sana hao