Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
huyu mbebez nae vipi!

mbona mbebez haeleweki kabisa, analeta shobo nn bana, anazingua ile kinoma nooma kulaleki!!!

yule mbebez mwingine wa bara la giza kapewa RIP, sasa huyu mbebez wa nanii huyu nae anazingua bana!!!

lols!!... mbebez at work!
 
Sion kabisa vitu vya msing vinavyowafanya watu mapovu yawatoke kias hiki juu yangu..kaz ni yangu mwenyewe,ningekuwa sina kaz kabisa cjui ingekuwaje Karucee

mashoga wanasumbua sana kila wakat kusifia wanaume wenzao....... Hiv nan kaihitaji mipic yako? Huku umepotea hakuna mafirauni huku.
 
Last edited by a moderator:
JF bila kuweka hii kitu BAN hakika umu ndani ingekua kunachimbika daily maana watu wanamezea tu kuogopa hii kitu,ivi H.O.D na H.O.E nani kaanza na jina kuingia nalo umu ndani mimi nikiwakutaga kwenye thread moja naishia kucheka tu.
 
Ila ana kamvuto. Diamond atakuwa anafaidi sana yale mambo yetu. Shiiii usimwambie mtu.

Acha hizo bwana!

Hizi story zinatoka wapi?

Sipendi mtu akizuliwa jambo, its not right, its not fair!!

Mpwa kisia nimepiga nini asubuhi asubuhi:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha nini tenaa

Hujaona kijana yeye ni mti wenye matunda.
Acheni kuupopoa mawe basi lol.
Nimecheka sana kweli kichaa hajijui kichaa bali anawaona wenzake kichaa
 

kutoka moyoni kabisa heven on desert a.k.a kifesi wewe ni mmoja kati ya watu ambao mimi na apriciate sana harakati zako katika kazi yako..one love HOD
 
Acha hizo bwana!

Hizi story zinatoka wapi?

Sipendi mtu akizuliwa jambo, its not right, its not fair!!

Mpwa kisia nimepiga nini asubuhi asubuhi:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

lisemwalo lipo antie. si unaona anavojishongondoa.

Sina haja ya kukisia, naenda kukulipizia. Sikubali
 
Last edited by a moderator:
Hujaona kijana yeye ni mti wenye matunda.
Acheni kuupopoa mawe basi lol.
Nimecheka sana kweli kichaa hajijui kichaa bali anawaona wenzake kichaa

We acha tu atupe na sie hilo tunda tule sio amgawie ndomo kisha atusimange sie...

Dogo ni empty kabisa upstairs
 

Yupo karne moja nyuma
 
Last edited by a moderator:
Yupo karne moja nyuma
ngoja uone akija na attention zake...
heaven on desert, i am paying attention! how much?

:eyebrows:.... ukijibu hovyo, tunakurusha kwenye dustbin!:majani7😛eace borther...😛eace:... najua hujawahi lamba kifungo!:brushteeth:
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…