Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
Kimekuuma nini? Sipo hapa kufurahisha watu..

Hivi Mimi na elimu yangu nivae takataka?

Duuh,wenye elimu wanongeaga unachokiongea hapa?labda elimu ya kutibu kwa mitishamba ndiyo unaizungumzia
 
Hata mie nisie na elimu siwezi kuvaa madekio.

Ha ha ha ha

Unaweza usiwe na elimu na ukawa na akili kubwa..

Unaweza kuwa na elimu ukawa simple minded..

Simple minded people tu ndo wanaweza kuvaa hizo dekio aisee puuuuh!!
 
Mbwa akimng'ata mtu sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.

Ndo kama hivi sasa.
Kujua flani ni kichaa siyo ujinga,ila ujinga ni wewe mzima kupay antetion kwa mtu ambae unajua ni kichaa
 

Dogo mi sikupata maisha mazuri kwa kubahatisha kama nyinyi mliotokea kwenye bwawa la dhiki mkabahatika tu ndio maana hamuishi kujitangaza..

Nina elimu ya kumzidi boss wako na standard life nimeikuta nyumbani tangu kuzaliwa hizo land cruiser wenzenu tumepelekewa shule na zilikua zinabadilishwa kila baada ya 5years usione waliomo humu maskini na wasafisha nyota kama nyie kiasi cha kuiga maisha ya ndomo..

Umewahi kujiuliza uhakika wa kula yako after 10 years?

We dogo usione watu hawakupendi wanakuweka sawa kwa kukuondoa harufu yako ya dhiki iliyogoma kutoka hata baada ya kubahatisha maisha...
 

Duuh unatumia nguvu nyingi sana aisee,hapo chini nimeongea swala la mtu kufanya kaz kwa bidii ili awe na maisha mazuri.so haya maandishi yote na story za wewe kupelekwa shuleni na gari zimetoka wapi??
 
Duuh unatumia nguvu nyingi sana aisee,hapo chini nimeongea swala la mtu kufanya kaz kwa bidii ili awe na maisha mazuri.so haya maandishi yote na story za wewe kupelekwa shuleni na gari zimetoka wapi??

Unavyosema maisha mazuri tutaishia kuyaona kwa diamond umemaanisha nini?

Yaani mtu aliyepata bahati nasibu sisi tuishie kuyaona maisha mazuri kwake?

Umewahi ona ndinga za maana kwenye foleni ukajiuliza kama boss wako anauwezo nazo?

You are too low in thinking!!
 
Kupay attention kwa kichaa ni muhimu. Ndo maana kuna hospitali za vichaa, ambazo watu wenye akili timamu wanapay attention kwa vichaa.

Mkuu umeona ubongo wa jamaa ulivyo na low response?

hadi huruma jamani sijui ana umri gani aisee
 
Aisee naona HOD umeshakaribia maana umekaribishwa kwa mbwembwe mpk zngne out of your intention.Ucjali karibu maama.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…