Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.
sometime thread zangu zinanifanya niprove ni kias gani mi ni mti wenye matunda..ningekuwa mtu wa kawaida tu,hakuna ambae angekuwa anapay antetion na mimi,kutukana ama kunitupia kashfa zisizo za msingi
 
Hadi sisi rafiki zako unatuuziaa kha!!!!!makubwaa kuna ya bei kubwa zaidii tofauti na hiyo 20?

Ha ha ha tshirt siyo mari yangu mujuwe..brandy/product ya kampuni hiyo labda ungesema niwanunulie,niwagawie ama nini?? Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Hivi ninunue T-shirt za watoto wa mbagala kwa sh. 20000? hata kupigia deki tu mke wangu hawezi

Kitu kizuri huwa kinakumban na changamoto sana..mbona zinanunuliwa sana tu..haya we kanunue tshirt za watoto wa state
 
Hivi ninunue T-shirt za watoto wa mbagala kwa sh. 20000? hata kupigia deki tu mke wangu hawezi
Ila za watoto wa mikocheni utanunua?
Dah! hayo maneno ya kimbunye kweli, umeboa!
 
hahahahahaha sana tu lakini utaweza kuweka picha yako halisi

Picha hapana ila kama nakudai na uliahidi kunilipa deni langu leo na hujafanya hivo utakua wa mwanzo mwanzo kutajwa
 
Ila za watoto wa mikocheni utanunua?
Dah! hayo maneno ya kimbunye kweli, umeboa!

Kimekuuma nini? Sipo hapa kufurahisha watu..

Hivi Mimi na elimu yangu nivae takataka?
 
Picha hapana ila kama nakudai na uliahidi kunilipa deni langu leo na hujafanya hivo utakua wa mwanzo mwanzo kutajwa

hahahahahahaha utafiti ukinimention vibaya thread nitaipaka rangi nyeusi
 
Last edited by a moderator:
sometime thread zangu zinanifanya niprove ni kias gani mi ni mti wenye matunda..ningekuwa mtu wa kawaida tu,hakuna ambae angekuwa anapay antetion na mimi,kutukana ama kunitupia kashfa zisizo za msingi

Mbwa akimng'ata mtu sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.

Ndo kama hivi sasa.
 
Mbwa akimng'ata mbwa sio habari, habari ni mtu aking'ata dogi. Hapa JF ukileta stori ya kibweg.e watu wanajaa sana ili kujua aliyeleta stori yuko poa au katoroka Mirembe.

Ndo kama hivi sasa.

Babu slow down
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…