Heart broken again | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heart broken again

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masaki, Jun 24, 2011.

 1. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Real tears are not those that fall from the eyes and cover the face, but are those that fall from the heart and cover the soul.

  I don't have tears on my face but my heart is crying tonight. Nami namuomba sana Mungu awape wanawake hekima ya kutambua na kuheshimu hisia za wenzao. Wawe na busara ya kutambua na kuheshimu hisia zilizopo kwenye mioyo ya wenzi wao! Four years in a relationship have vanished in matter of few days! Worse enough na tarehe ya harusi ilishapangwa. I AM HEART BROKEN AGAIN!! For the second time!! Last time was 2005, I wasted so many years trying to recover and also learn to trust women again. It took time and eventually my heart was softer enought to love again! Now see what I have got from a woman tonight! NOTHING BUT PAIN!!

  Pengine kuna tatizo lilijificha ambalo silifahamu. Kwa upande wangu kama mwanaume na kama binadamu mwenye mapungufu yake, inawezekana kabisa nimewahi kuwakwaza au kuwaumiza baadhi ya wanawake katika hisia zao. From the bottom of my heart, namuomba Mungu anisamehe pale ambapo niliwahi kumuumiza mwanamke katika mapenzi na hisia zake!


   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole but what happened?!
  Kakuacha tu au kuna kitu ulifanya kusababisha?!
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kwenye mahusiano yetu mimi nina mikono misafi kabisa...Tamaa zake tu za kupenda mambo makubwa. Hawajui wanaume yule....! Ataachwa mchana kweupe akishachokwa!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,670
  Trophy Points: 280
  Pole sana Masaki kwa kuumizwa tena kimapenzi. Inauma sana unapoumizwa kimapenzi hasa pale ambapo uliyempenda ulikuwa na nia ya kufunga naye pingu za maisha na tarehe imeshapangwa. Mungu akupe uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu kwako.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Asante sana BAK! Honestly, its 4:46am here in Dar now and I can't sleep! My heart is crying!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Pole sanaa Masaki.Ndivyo maisha yalivyo.Piga moyo kondo siku njemaIko njiani...
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,670
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu. Jaribu kuwa mvumilivu Mkuu ili usifanye chochote cha kujiumiza zaidi na pia kuwaumiza ndugu, jamaa na marafiki zako wa karibu. Pole sana.
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nitazingatia ushauri wako. Asante sana! Dunia kweli ni tambara bovu, wahenga walisema!
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Acha kuwa weak mkuu! Pick up the pieces and move on. Mchukulie huyo aliyekutenda kama vile alifariki na hayuko tena hapa duniani then sahau yaliopita. Move on. Life is too short to dwell on a break up!!
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu maliza kulia na maisha yasonge mbele....maisha ni kujifunza na kujifunza.
   
 11. s

  stun Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Masaki, watu wengi tulipitia huko, na japokuwa hatuwezi kusema kuwa tuli-cover syllabuses za kuumizwa mioyo, ila experience is a very good teacher. Japokuwa ni human nature kuangalia kipi kilikwenda wrong, ila sikushauri hilo, maana utazidi kujiumiza. Endelea na maisha yako kaka, chukulia kuwa hayo ni mapito, and trust me, you have been removed from the boggest tragedy had you gone through that wedding plan. Better now than later. You will find the right woman, who will be of your standards, and who will fit into your life, and when that time comes, you will be glad that all these have happened. I always believe for the better next time. It helped, and am sure it will help you too. Time is the best remedy for broken hearted. Take your time doing other things, go out with friends, do what you find interesting, don't sit alone regretting...and you will be okay.
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Thanks! I am short of words!
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  pole..........
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Maskini kuna nini tena mtu wangu...hee toka miaka ile mpaka leo mtu anatokea na kuuvunja moyo wako Lol
  Mungu ni mwema piga moyo konde yupo aliyeandaliwa maalum kwa ajili yako
  I am deeply sorry!
  I am deeply so sorry!!!
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  pole ndio maisha, umeanguka, simama jikung'ute vumbi endelea na safari. ila hujatupa stori kamili, ilikuwaje
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,502
  Trophy Points: 280
  Masaki:
  Stop crying
  Get up and move.....
  Maisha haya ni mafupi sana, hatupaswi kutoyetendea haki kwa kusononeka kwa sababu ya mapenzi ya mtu mmoja. There are lots of girls down here ambao wanaweza kukupa raha mpaka ukaishia kujiuliza ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE HUKUWAJUA MAPEMA?........ Yalishanitokeaga mara moja, I learnt my lesson.........no one will ever break my heart again. NEVER!
   
 17. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu...maisha lazima yaendelee...huwezi jua Mungu kakuepusha na nini...uzuri wa hili ni kwamba moyo wako unazidi komazwa...
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kuna kiti kuhusu wanawake ni very ajabu

  ukijaribu kum protect ndio atazidi kukuumiza

  sometimes its better to treat a w.h.o.re like a w.h.o.re

  trust me,
  ukiendelea kumjali atakufanya kama babayake...hivi
  wengine watachezea,halafu wewe ndo utakuja to pick up the pieces..
   
 19. S

  Sweetlol Senior Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole sana Masaki.this is lyf.nimefurah kumbe da same tym nasafa na ww ulikua unaumia.usiwalaumu sana wanawake coz hatawanaume mnaumiza kupitakiasi.am heart broken too najana ndo ilikua mbaya kuliko zote.ila nikujipa moyo nakusongesha,lets belive kwamba waletuliopangiwa kuishi nao tena kwa furaha bado tujakutana nao.nakuombea ujasiri katika hilo.
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole sweetlol, huu mwezi ni wa broken heart tu, sijui sababu wanafunzi wamefunga wamerudi makwao kwa hiyo wanaingilia tu mahusiano ya watu, hhahahaa joke.....nakumbuka tena kuna msichana alianzisha thead ya kuvunjwa moyo....poleni sanasana
   
Loading...