naenda kuvuta zuku next week nikirudi bongo tu
ZUKU wana channel zipi za maaaaana?
Mkuu nadhani mi ndo nitakuwahi, nasubiri madeni tu niningize kitu kwenye bati.
Jaman mme msaha ATN na decoder zake za TING ziko juu sana!!!!
duh naweza pata channel list ya hao jamaa maana sipati hata website yao
Ndo maana nilijiunga zangu na dstv hao wengine pasua kichwa 2 zuku channel kibao za kihindi as if mtu uko bombay bwana. Bora nmejilipua na soccer n movies za kutosha.
wamenivutia kusikia eti wanakupa na kile kidish kidogo hahaha lazma nipandishiwe kodi mwakani
Me nimeridhika na easy tv baada ya kuhama star times
Mkuu hebu tupe features zake tuifahamu na sie.