Head to Head: Zuku vs Star Times

REAR PANEL
Huku nyuma kuna some options, hii model ina HDMI connection, USB: for PVR recording, Internet extension, na upgrading firmware. Option nyingine ya ku-upgrade ni OTA (over the air). aprt from that pia ina 2 Coaxial in (LNB in zipo mbili) so, unaweza record a separate channel while watching another one at the same time.

9k=
 
Attachments

  • zuku 4.jpg
    zuku 4.jpg
    142.3 KB · Views: 73
REAR continues

zuku_0539.JPG
Kwa bahati mbaya au nzuri nilisahau kfotoa remote controller yake, I'll be back for it. maishapopote, nilitazama baby tv, aise kiukweli imekaa kitoto, inafaa sana. Na nilipoingia Viasat Crime, madocumentary ni balaa sana, nimepata shida kulala intime. na kuna channel za Zuku movies, ziko kama tano au sita hivi, na kuna mbili zimejirudia (ila moja moja zipo liosasa limoja mbele, so ukikuta movie balaa ipo katikati unaweza kuicheki lisaa limoja nyuma ilipoanzia - I like the idea. Ni kama ilivyokuwa M-net West miaka ile kipindi naitazama kwa watu. teh teh)
morphine, nadhani nimekuwahi, ila mimi sitapandishiwa kodi inavyoonekana, maana nimeweka mahusiano mazuri, jamaa akichukua receiver nampa tu cable yangu ya pili from the dish,. ili naye atazame. problem solved.
Ndetishia, Internet ndo iko mbioni, sijajua wataofa spidi gani, na pia sasa who knows kama bei ndo itapanda ama kushuka baada ya tcra's deadline (kama hawata extend of course.)

kwa sasa niishie hapa, ila tu ni kwamba, sijafanikiwa kuangalia program moja mpaka mwisho, nimekuwa nikiflip through the channels like after every 5 minutes, so sad! I just want to watch everything!
 
Ni kweli aisee, ngoja nianze somo la kumuelewesha landlord kuwa hiki ni kifaa cha kawaida tu, na wala sio anasa, akishaelewa somo tu fundi Zuku anaingia kazini! teh teh!

Landlord kasema nifunge tu zuku ye hata ongeza RENT ila ata jumlisha na TAX kwenye ''RENT '' !!!!
So nikifunga tu kidish akikiona ntakua nalipa rent kwa landlord + tax i think kwa "landrod revenue authority".
 
Wakuu baada ya abalysis kwa muda sasa nimeamua kuvuta kazuku home. sasa hebu tuitizame kama ni kweli ndivyo ilivyo ama inaopambwa tu. Nimevunjavunja hii post as imekataa zaidi ya mara nne. ndetichia, morphine, na maishapopote, et. al. naamini hii inawuhusu.

Hiyo picha ya kwanza ina decoder mbili, zote za zuku, ila hiyo nyeusi (ya chini) ni old model, na hiyo ya juu ni new model zao. Poleni nimetumia kasimu kangu kufotoa, picha haina ladha.

View attachment 66287

FRONT PANEL
Kwanza kabisa hii Decoder and PVR, upande wa mbele ndo kama ulivyo hapa, na nit touch sensitive (no button) ukigusa, taa ya blu ndo inawaka. On the far right side kuna sehemu ya kuweka smart card. Ila for some reasons haipo sijui kwanini, ila channel zipo fine showing.

View attachment 66288

haya touch 'skrini'...

santeeeee, sasa mbona una deocoder mbili za zuku zote? Mie kile kidish tu ndio kinanipa mawazo sijui ntakifichia wapi mwenye nyumba asikione maana najua tu kitaleta nuksi ya kupandishiwa kodi :A S 39:
 
REAR continues

View attachment 66294
Kwa bahati mbaya au nzuri nilisahau kfotoa remote controller yake, I'll be back for it. maishapopote, nilitazama baby tv, aise kiukweli imekaa kitoto, inafaa sana. Na nilipoingia Viasat Crime, madocumentary ni balaa sana, nimepata shida kulala intime. na kuna channel za Zuku movies, ziko kama tano au sita hivi, na kuna mbili zimejirudia (ila moja moja zipo liosasa limoja mbele, so ukikuta movie balaa ipo katikati unaweza kuicheki lisaa limoja nyuma ilipoanzia - I like the idea. Ni kama ilivyokuwa M-net West miaka ile kipindi naitazama kwa watu. teh teh)
morphine, nadhani nimekuwahi, ila mimi sitapandishiwa kodi inavyoonekana, maana nimeweka mahusiano mazuri, jamaa akichukua receiver nampa tu cable yangu ya pili from the dish,. ili naye atazame. problem solved.
Ndetishia, Internet ndo iko mbioni, sijajua wataofa spidi gani, na pia sasa who knows kama bei ndo itapanda ama kushuka baada ya tcra's deadline (kama hawata extend of course.)

kwa sasa niishie hapa, ila tu ni kwamba, sijafanikiwa kuangalia program moja mpaka mwisho, nimekuwa nikiflip through the channels like after every 5 minutes, so sad! I just want to watch everything!

ni kweli umeniwahi mkuu, na mimi bado nimezembea kununua decoder yao hao jamaa ila nishaanza patwa na hofu vitapanda bei hivi baada ya mwezi December na upande mwingine nahisi wakianza kutoa internet watatoa decoder zingine zenye RJ45 port au WiFi capability maana bado sijapata muelekeo internet nitaipataje mimi end user.

Mwenye upeo zaidi naomba ufafanuzi kwenye hili ingawa naona Coaxial cable pale ambayo nasikia USA ndio inatumika kusambaza internet majumbani sijui ni kweli :dizzy:
 
santeeeee, sasa mbona una deocoder mbili za zuku zote? Mie kile kidish tu ndio kinanipa mawazo sijui ntakifichia wapi mwenye nyumba asikione maana najua tu kitaleta nuksi ya kupandishiwa kodi :A S 39:

Mkuu, hapo ni wakati n imekwenda kuchukua dukani. nikakuta wameweka hivyo, ya zamani na ya sasa. Hiyo ya zamani nimeona haiona chochote unusual zaidi ya av connector na adaptor nyuma kama sijakosea.
 
Mkuu, hapo ni wakati n imekwenda kuchukua dukani. nikakuta wameweka hivyo, ya zamani na ya sasa. Hiyo ya zamani nimeona haiona chochote unusual zaidi ya av connector na adaptor nyuma kama sijakosea.

Turudi kwenye radio channel sasa, local radio stations zinapatikana? Bila kusahau ziletetezi za kuweko ITV na Chanel 5 maana kile ki-Noah chao nona kina hizo lablel za TV stations
 
Niko Morogoro...hiyo startimes hawapo na hiyo antenna labda ununue king'amuzi tu, nilikuwa ZUKU wameniboa siwalipi tena ila nashukuru dish lao zuri durable na sasa nalitumia kwa receiver yangu kupokea channel za Kenya ikiwepo K24 halafu naona kuna FEED ambayo startv naona wanajaribu mle...test transmission. Kwa ufupi TCRA hawatutendei haki walitakiwa kuwalazimisha wote hawa waweke all local channel na pia king'amuzi kiwe kimoja tofauti iwe ni smart card tutakayonunua kwao ili kupata channel tuzitakazo.....by the way big up Abood television anatupatia mipira ya EPL 100% locally u can access SUATV (wanaunga ITV) na STARTV in Morogoro. Cable nayo ni nzuri hasa kwa wale wanaounganisha EPL kwa waarabu
 
Mdau Zuku walikuboa nn?
 
Hizi issue bwana, hizi programme zao zote ukiwa na dish la nchi 8 unapata hizo channel zote bure, they are just free channel,ndio maana za kihindi ni nyingi sana
 
Hizi issue bwana, hizi programme zao zote ukiwa na dish la nchi 8 unapata hizo channel zote bure, they are just free channel,ndio maana za kihindi ni nyingi sana

Nafikiri unamaanisha dishi la futi nane.
 
Turudi kwenye radio channel sasa, local radio stations zinapatikana? Bila kusahau ziletetezi za kuweko ITV na Chanel 5 maana kile ki-Noah chao nona kina hizo lablel za TV stations

Mkuu, local Radio ipo moja tu, Clouds FM.
Radio nyingine ni kama ifuatavyo.
1.Easy FM
2. Q Fm
3. BBC English
4. BBC Swahili
5. Total Hits UK
6. 2000's
7.Hip Hop
8. Urban.
9. Classic Rn'B
10. Blues
11. Reggae
12.Rock Alternatives
13. Indie Classics
14. Rock Anthems
15. Rock and Roll
16. Classic Rock
17. Blues
18. 60's
19. 70's
20. 80's
21. 90's
22. SA Traditional
23. SA Modern
24. Bollywood Hits
25. Classical India
26. Indie Gold
27. Punjabi
28. Sound India
29. Arabic
30. Classical Greats
31. Classical calm
32. Jazz Classics
33. Cool Jazz
34. Chillout
35. EA Gospel
36. SA Gospel
37. Base and Beats
38. Drive
39. Freedom

jamni huko Kwenye ZuKu kuna chaneli inayoitwa E africa Au..???

MKuu East Africa TV haipo huku. Ila kuna tangazo lao soon wanaanzisha ZUKU Swahili Movies, na itakuwa inafavor bongo movie sanasana.

Nafikiri unamaanisha dishi la futi nane.

teh teh, unless kama hiyo ni hightech inayokaa kwenye bagpack.
 
Nimeshtukia humu ndani kuna Ma'agent wa Zuku lkn kihalisia mpaka sasa hivi hakuna watu wanaoweza kulingana na hawa Wachina wenye Easy Tv,wana Local za kutosha almost zote ITV,TBC,Startimes,Chanel 10,TVZ,Capital,Mlimani na kwa upande wa kule Kenya kuna Citizen na KTN,Uganda kuna UBC bado wana channel za dini Emanuel Tv kwa Wakristo na Peace Tv kwa Waislamu, wana channel kama 4 hivi za Movies 24 hrs,movie kalikali zote zinazotoka mamtoni unaweza kuziona mule kabla hazijaingia nchini kupitia Cds,Dubai Sport ingawaje ni michezo ya ajabuajabu na channel nyingine ambazo mimi sinaga interest nazo,kwakweli hawa Jamaa wako juu tatizo lao ni 1 tu....hawajitangazi kabisa,sijui hawalipi kodi hawa Wachina?
 
ZUKU hawabadiliki, wanataka wateja basi waongeze local channels na waache kunyofoa channel kwenye kifurushi cha 20,000

Unataka kuniambia kile kifurushi cha elfu20 hua kinapungua channel list kila baada ya mda au unamaanisha nini kusema wananyofoa channel.
 
Back
Top Bottom