Head to Head: Zuku vs Star Times

eti startimes nao leo wameingiza African Movies Channels na Eurosports news!! Ha ha ha ha haaa!
 
Ndo maana nilijiunga zangu na dstv hao wengine pasua kichwa 2 zuku channel kibao za kihindi as if mtu uko bombay bwana. Bora nmejilipua na soccer n movies za kutosha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndo maana nilijiunga zangu na dstv hao wengine pasua kichwa 2 zuku channel kibao za kihindi as if mtu uko bombay bwana. Bora nmejilipua na soccer n movies za kutosha.

Mkuu, labda kama unarefer either kifurushi cha Asia Classic ama Asia Premium, maana huku kwenye Zuku Classic na Zuku Premium naona ziko mchanganyiko wa ulimwengu. Is it not?
 
wamenivutia kusikia eti wanakupa na kile kidish kidogo hahaha lazma nipandishiwe kodi mwakani

Ni kweli aisee, ngoja nianze somo la kumuelewesha landlord kuwa hiki ni kifaa cha kawaida tu, na wala sio anasa, akishaelewa somo tu fundi Zuku anaingia kazini! teh teh!
 
kiukweli mkuu umenifurahisha sana kwa analysis yako....nakupa tano kwa hilo...mimi si mteja wa zuku,ila startimes,nimeitumia tokea mwaka 2010..ni ya kawaida tu sijaona jipya na kila mwezi nalipia...

sasa basi kilichotokea nikalipia hicho kifurushi cha kili mwezi uliopita,naomba nikiri kuwa ndo nimeona hela yangu imetumika kwa uhalali sasa,manake kuna chaneli zimeongezeka ni nzuri sana nitajaribu kuziorodhesha hapa chini:
  1. Baby Tv-hii ni chanel nzuri sana ya watoto ipo tofauti na chanel zote tano zinazopatikana startimes
  2. Fox entertainment-hii in movie kali kila wakati plus series zote kali 24 and others
  3. FX-hii nayo ni movie tu kila wakati na zote ni action
  4. National geographic,hii bibi yangu huwa habanduki sebuleni,ni wanyama nature na mazingira
  5. viasat-hii nayo kwa documentary na structures na series na story ndio balaa
  6. halafu kuna action nayo ni mzuri kweli kweli
then kuna channel kama tatu za kidosi...hizi siangaliagi sana ila moja inaonyesha movie tu

so kiukweli nitaendelea kubaki startimes kwa muda mpaka hapo nitakapoona mabadiliko,kinachoniudhi tu ni kutokuonyesha premier league....hii ndo shida pekee manake UEFA naangalia DTV...
 
pamoja mkuu, maishapopote, nimechek channel lineups na nimeona kwa Zuku premium (40,000/mwezi), ni chanenel ya action tu ndo haipo, at least najua nitakuwa occupied, na NatGeo (naamini inamkumbusha bibi mbali kweli), then. Ila sijajua tu mpira ni channel gani, by the way Star TV huwa wanaonyesha naona kila wiki sijui mechi moja. Ushindani unakuwa mzuri siku hizi.

Ngoja nitakuambia fundi Zuku akifanya mambo wiki ijayo:cool:!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hebu tupe features zake tuifahamu na sie.

Local channel zote unapata. Kuna station 3 za movie tu mda wote.kuna za sport zipo na za diN pia zipo kwa wakristo ipo emanuel tv. Na waislam peace tv yan kiufupi iko fresh na yenyewe unatumia antena tu kama star times kwa mwez unalipia elfu kumi na kuunganiasha laki na 40
 
Wakuu baada ya abalysis kwa muda sasa nimeamua kuvuta kazuku home. sasa hebu tuitizame kama ni kweli ndivyo ilivyo ama inaopambwa tu. Nimevunjavunja hii post as imekataa zaidi ya mara nne. ndetichia, morphine, na maishapopote, et. al. naamini hii inawuhusu.

Hiyo picha ya kwanza ina decoder mbili, zote za zuku, ila hiyo nyeusi (ya chini) ni old model, na hiyo ya juu ni new model zao. Poleni nimetumia kasimu kangu kufotoa, picha haina ladha.

zuku1.jpg

FRONT PANEL
Kwanza kabisa hii Decoder and PVR, upande wa mbele ndo kama ulivyo hapa, na nit touch sensitive (no button) ukigusa, taa ya blu ndo inawaka. On the far right side kuna sehemu ya kuweka smart card. Ila for some reasons haipo sijui kwanini, ila channel zipo fine showing.

zuku 3.jpg

haya touch 'skrini'...
 

Attachments

  • zuku 2.jpg
    zuku 2.jpg
    94.3 KB · Views: 49
Back
Top Bottom