TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

Unazungumzia barakoa zipi wakati serekali ya Tanzania ilitangaza kuwa hakuna corona Tanzania?
 
Unazungumzia wodi gani za Corona wakati Serekali ilishatangaza kuwa Tanzania hakuna Corona?
 
Point sana
 
Lakini presentation yako inaweza kumuudhi mtu yeyote
 
R.I.P.
My era school.siku hizi bongo ukifa tu ni watu wanasema corona. It means magonjwa mengine inabidi yasiue kwanza mpaka corona iishe
Yaani unaambiwa kuwa korona ni inhibitive syndrome -- ikiingia mtaani, maradhi mengine yote yanajitowesha kwa muda, ikiwemo ajali kama za barabarani, of course.
 
Sasa mbona unaongelea ugonjwa wa corona kwenye wodi za hospitali za Tanzania wakati huo ugonjwa haupo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kusoma kwa ufasaha?Umesoma nilichoandika?Katika andiko langu nimezungumzia mambo ambayo yangekuwepo/yangefanyika iwapo Tanzania isingeficha kuwa Corona ipo na ingekuwa inafuata taratibu za WHO.
 
Meko anawadanganya wanamuamini
 
Apumzike kwa amani school mate wangu. Kuhusu chanzo cha kifo, nijuavyo mimi Elias alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu sasa na alikuwa akihudhuria Kliniki hapo Bugando.
 
Aiseee siamin kaam ukiwa unashabikia upinzani unapoteza kabisa ufahamu. Corona ilipoingia ilitangazwa mara hii umesahau,umesahau ummy alipokua anatoa takwimu,umesahau mgonjwa wa kwanza alivyopatikana na mgonjwa wa kwanza alipotangazwa. Acha kujitoa akili mkuu

Kujifukiza,barakoa za vitenge,malimao yote mliyakataa mkatukana kweli kweli
Unazungumzia barakoa zipi wakati serekali ya Tanzania ilitangaza kuwa hakuna corona Tanzania?
Haya na huyu njoo umbishie maana katoa taarifa ya ungonjwa usiohusika na corona
Apumzike kwa amani school mate wangu. Kuhusu chanzo cha kifo, nijuavyo mimi Elias alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu sasa na alikuwa akihudhuria Kliniki hapo Bugando.
Mkuu watu wamesharirishwa ni corona watakubishia na kukutukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…