Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,405
Unazungumzia barakoa zipi wakati serekali ya Tanzania ilitangaza kuwa hakuna corona Tanzania?Mkuu bugando bila barakoa hauingii na maji getini yapo.Halafu tunapenda sana kulalamika enzi zile serikali ilifata kila hatua bado malalamiko yakawepo,waliruhusu hadi barakoa za vitenge watu mkatukana ila leo kule wanaposifia who pana barakoa za kushona nyingi.
Hatuwezi kuhukumu kuwa mgonjwa wa mwalimu mkuu alikua na korona. Kujikinga muhimu ila lockdown hapana. Wakitangaza saiv kuna corona watu mtaanza kulilia lockdown. Tutakula wapi.
Wameleta nyungu season 3 mnadhihaki