He is GUILTY

He is GUILTY

Kwa maneno yako haya nimeku
💉💉💉
😀😀😀

Cocochanel ni bonge la JF GT.

Hii mimi penda sana kutoa nyoka pangoni.. 😀😀😀.. Cocochanel mburudikaji wa JF kwa akili supa kubwa.. mimi sio wa muchezo muchezo..

Nimekumbuka thread yako moja ndio maana.. sitabadilisha lolote nimeandika tayari.

Pole na pokea sentensi uliyoandika mwisho kwa msisitizo.. hiyo hiyo hiyoooooo inarudi inarudi inarudi.. itatoa na maisha ya kuwa mchuma.. pokea na hii tena juu 💉😀💃🏽


ha ha ha yani wewe ni pasua kichwa unahitaji unyimwe simu kwa mda upate tiba ukishapona ndo urudishiwe simu.

lasi hivyoo hali itazidi kuwa mbaya.
 
Kwa maneno yako haya nimeku
[emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji3][emoji3][emoji3]

Cocochanel ni bonge la JF GT.

Hii mimi penda sana kutoa nyoka pangoni.. [emoji3][emoji3][emoji3].. Cocochanel mburudikaji wa JF kwa akili supa kubwa.. mimi sio wa muchezo muchezo..

Nimekumbuka thread yako moja ndio maana.. sitabadilisha lolote nimeandika tayari.

Pole na pokea sentensi uliyoandika mwisho kwa msisitizo.. hiyo hiyo hiyoooooo inarudi inarudi inarudi.. itatoa na maisha ya kuwa mchuma.. pokea na hii tena juu [emoji382][emoji3][emoji1437]
Mimi nina wasiwasi huyu Cocochanel anaweza kuwa ni LEMUTUZ.
 
Becky uzi mzuri ila kuna malaya wameuharibu...kuna watu wasagaji humu mie nakuambia....beware! kuna ***** la kike mie kila nachocomment kwenye jukwaa la siasa hua ananipa dislike..bas huwa najiuliza huyu anahis mie ntamsaga?..achana na huyo msagaji..kadanga kachoka😏😏!alichobaki kusifia ccm.na hajui ht kiandika...mie namuonaga km mwezi mchanga...atleast Yehodaya huwa ana argument .na ni smart kwa kias chake..sasa huyu kama anaandika akiwa milembe!..ana ubaridi ..achana nayee💃💃💃
 
Mimi nina wasiwasi huyu Cocochanel anaweza kuwa ni LEMUTUZ.

Wasiwasi wako umekupatia zigo rohoni mwako unaoubeba na kujimaliza nguvu.. ukifikiri unayajuaaa kumbe hujui kitu.. Lemutuz sio Cocochanel. Fahamu hivyo leo
 
Back
Top Bottom