He is GUILTY

He is GUILTY

Yeye kama Raisi anawajibu wakukemea. na
wao upande wa pili waanze kuteka kuonewa napo kuna mwisho wake.

Siku akianza kuongea ukweli wa kinachojiri.. mtachimba mashimo mjifukie nyie wapambe wafata upepo.. hamuna jingine.. kudakia dakia tu

Hapa kazi tu
 
kwa akili zake zile na jinsi anavyopenda sifa angekuwa anajua na hayana maslai yake ugekuta asharopoka,

Ha ha haaaaa
Anajua kujipangilia.. yeye ni habari ingine.. subiri 2020 itakuwa macho na masikio kwenu.. na upinzania watamfatilia kuliko hata viongozi wao.. habari ndio hiyo..

Magufuli oyeeeee
 
Siku akianza kuongea ukweli wa kinachojiri.. mtachimba mashimo mjifukie nyie wapambe wafata upepo.. hamuna jingine.. kudakia dakia tu

Hapa kazi tu

Kwa nini anachelewa kuongea...lipi analolisubiri??? Nilikua najiuliza kwa nini una support CCM ilihali unaona yanayoendelea nchini kwetu....leo jibu nimelipata kumbe dingi yako yupo serikalini eeeh??? DOH!!!!!!
 
Ha ha haaaaa
Anajua kujipangilia.. yeye ni habari ingine.. subiri 2020 itakuwa macho na masikio kwenu.. na upinzania watamfatilia kuliko hata viongozi wao.. habari ndio hiyo..

Magufuli oyeeeee

Hajui kujipangilia,,,, angekua anajua,vidole visingemnyooshea yeye...wanaojua hawaachagi trace
 
Kwa nini anachelewa kuongea...lipi analolisubiri??? Nilikua najiuliza kwa nini una support CCM ilihali unaona yanayoendelea nchini kwetu....leo jibu nimelipata kumbe dingi yako yupo serikalini eeeh??? DOH!!!!!!

Embu jisikitikie kwa kweli inabidi ujifunze.. yaani na wewe kuwa shabiki wa upinzani na mponda chama chao CCM dingi yako basi lazima ni Katibu enu sijui nani yule kiongozi wenu anaelia lia akizunguka watu wahudhurie awapige picha za kusambaza.. ndio unaishia kuandika porojo hii juu yangu.. aiseee.. kabisa fikra zako zikakupeleka huko.. eeeeeh eti naanfika humu kisa nani ha ha ha haaaa.. bado nacheka

Usisahau kumpiga picha huyo dingi yangu unapojua anakalisha mwili.. maana eeeeeh
 
Hajui kujipangilia,,,, angekua anajua,vidole visingemnyooshea yeye...wanaojua hawaachagi trace

Andika basialichoacha hadi ukaweza kumtrace.. na proof juu.. bila hayo wewe nni porojo tu.. eeeeeh keyboard warrior naona unajifunza funza.. karibu sana shosti.. burudika humu kwa moyo mmoja.. siasa siasa.. ukitaka kugombea cheo.. njoo nikupe mianja ya kutumia akili 2020 upete..
 
Embu jisikitikie kwa kweli inabidi ujifunze.. yaani na wewe kuwa shabiki wa upinzani na mponda chama chao CCM dingi yako basi lazima ni Masinji sijui nani yyle kiongozi wenu anaelia lia akizunguka watu wahudhurie awapige picha za kusambaza.. ndio unaishia kuandika porojo hii juu yangu.. aiseee.. kabisa fikra zako zikakupeleka huko.. eeeeeh eti naanfika humu kisa nani ha ha ha haaaa.. bado nacheka

Usisahau kumpiga picha huyo dingi yangu unapojua anakalisha mwili.. maana eeeeeh

Chukua time, sijawahi kukuona uki make arguments humu, wewe ni kuvuvuzela Magufuli oyeee kwenye topic za watu...please toka kwenye hii topic ..
 
Andika basialichoacha hadi ukaweza kumtrace.. na proof juu.. bila hayo wewe nni porojo tu.. eeeeeh keyboard warrior naona unajifunza funza.. karibu sana shosti.. burudika humu kwa moyo mmoja.. siasa siasa.. ukitaka kugombea cheo.. njoo nikupe mianja ya kutumia akili 2020 upete..

Mnhhhghhh hujielewi na wala sikueleweshi,sina muda wa kulielewesha poyoyo kama wewe,,, eti najifunza funza, nijifunze nini kutoka kwako??unless una ID nyingine, ila kama ni hii hii ya Coco,ambayo inachojua ni kusema Magufuli oyeee shosti huna cha kunifundisha,usijipe umuhimu ambao huna
 
Kwanini uigeuze mada yako uwanja wa mabishano na mtu?? Achana nae na uwajibu wale wanaostahili kujibiwa nawe tu. Hiyo ni njia mujarrab kabisa ya kumfanya mtu achkue time
 
Chukua time, sijawahi kukuona uki make arguments humu, wewe ni kuvuvuzela Magufuli oyeee kwenye topic za watu...please toka kwenye hii topic ..

Mwanamke acha uoga acha roho mbaya.. sasa kumbe una malengo yako humu.. eeeeeh. Wivu wa wanawake ni kitu hatari sana.. nasema tena karibu ila usiogope wanawake wenzako, usitake kuwa wao.. moi.. na kupenda kujibiwa na wanaume tu.. ati sina hoja ila unanisoma.. uzi wako umenipa picha kwamba una mawazuuuuuuu.. sitabadili burudani yangu humu.. una wivu hadi ati Cocochanel haanzishi uzi.. wewe kuanzisha umepata tuzo.. eeeeh janga aiseee.. acha kutumia nguvu kutafuta kujulikana na wadau humu.. kuanzisha uzi kiwewe ni udespo tu.. kafanye kazi vya dezo hakuna tena.. ulisema upo nchi gani tena eeeeh. mrangi dada hapa anataka mjadili nae ya kudanganyana..
 
Mnhhhghhh hujielewi na wala sikueleweshi,sina muda wa kulielewesha poyoyo kama wewe,,, eti najifunza funza, nijifunze nini kutoka kwako??unless una ID nyingine, ila kama ni hii hii ya Coco,ambayo inachojua ni kusema Magufuli oyeee shosti huna cha kunifundisha,usijipe umuhimu ambao huna

Ha ha ha haaaaaa
Post yangu ya hapo juu mimi kwisha jibu wewe.. Cocochanel ni habari ingine.. Cocochanel ni brand humu.. hutaki.. lia basi.. ha ha haaa.. sijakuambia nikufundishe ila hao wanaume si wao nimewaona kwa uzi huu sasa hivi
 
Mwanamke acha uoga acha roho mbaya.. sasa kumbe una malengo yako humu.. eeeeeh. Wivu wa wanawake ni kitu hatari sana.. nasema tena karibu ila usiogope wanawake wenzako, usitake kuwa wao.. moi.. na kupenda kujibiwa na wanaume tu.. ati sina hoja ila unanisoma.. uzi wako umenipa picha kwamba una mawazuuuuuuu.. sitabadili burudani yangu humu.. una wivu hadi ati Cocochanel haanzishi uzi.. wewe kuanzisha umepata tuzo.. eeeeh janga aiseee.. acha kutumia nguvu kutafuta kujulikana na wadau humu.. kuanzisha uzi kiwewe ni udespo tu.. kafanye kazi vya dezo hakuna tena.. ulisema upo nchi gani tena eeeeh. mrangi dada hapa anataka mjadili nae ya kudanganyana..

Wivu wa wanawake,kwa lipi????? nahisi ulizaliwa peke yako umezoea kuwa centre of attention unadhania kila mahali ujibwatuke bwatuke tu upate attention...nikuonee wivu nakujua???? hapa naona maandishi tu yenye ID inayoitwa ***** opps COCO,sioni lengine..so kaa na amani sikuonei wivu sikujui na itabaki kuwa hivyo,sijui kwa nini ume conclude nataka comments za wanaume tu...mnhhhhhhh....nipishe anzisha uzi wako uandike hii ni kwa wanawake pekee na si wanaume...au anzisha ya wanaume tupu na wewe usipate wivu ukiona wanaume wame comment humu,na kuignore kuanzia sasa..sikujibu tena .PEPO TOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HUMU!
 
hapa naona maandishi tu yenye ID inayoitwa ***** opps COCO,sioni lengine

nipishe anzisha uzi wako uandike hii ni kwa wanawake pekee na si wanaume

.sikujibu tena .PEPO TOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HUMU!

Kwa maneno yako haya nimeku
💉💉💉
😀😀😀

Cocochanel ni bonge la JF GT.

Hii mimi penda sana kutoa nyoka pangoni.. 😀😀😀.. Cocochanel mburudikaji wa JF kwa akili supa kubwa.. mimi sio wa muchezo muchezo..

Nimekumbuka thread yako moja ndio maana.. sitabadilisha lolote nimeandika tayari.

Pole na pokea sentensi uliyoandika mwisho kwa msisitizo.. hiyo hiyo hiyoooooo inarudi inarudi inarudi.. itatoa na maisha ya kuwa mchuma.. pokea na hii tena juu 💉😀💃🏽
 
Ndio ukome siku nyingine...lol

umebaki kujichekesha tu,
 
Back
Top Bottom