figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,493
- 54,900
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining).
CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya nyaraka bandia, matumizi mabaya ya madaraka na watu kuchukuliwa fedha zao katika masuala ya kikodi ambayo si jinai. CAG amebainisha kuwa malipo Tsh bilioni 8.26 yalifanywa na washtakiwa bila ya kuwepo na 'Plea bargaining’.
"Hali hii inaonyesha uwepo wa ukiukwaji wa Kanuni namba 12 na 14 za Kanuni za Mwenendo wa Makosa ya Jinai (makubaliano ya kukiri kosa) za mwaka 2021, ambao unaleta shaka juu ya uwazi na uadilifu katika mchakato wa kukiri makosa." CAG Charles Kichere
MY TAKE:
Yaani tu anajinyima anatafuta hela anapeleka Benki halafu mtu mmoja wa Kanda ya ziwa anaenda Benki kuzichukua. Anajifanya kukushitaki ili apate uhalali wa kchukua account yote kabla hata hukumu haijasomwa.
Yafaa Biswalo Maganga aondolewe Ofisi za Umma kisa afungwe jiwe kubwa shingoni atumbukizwe Baharini. Magufuli alipokufa Biswalo alikuwa anatabasamu tu, alijua kabaki na Mzigo
Awamu ya tano imepeleka wapi haya Mabilioni? Ndo maana Biswalo na Magufuli walikuwa Marafiki sana. Wakamuita Polepole wakampa hela akaanza kuzitawanya kwa Wanasiasa wa Upinzani.

DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana
Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
www.jamiiforums.com