Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

Hapa ndipo nilipokuja kujifunza sio wote waliomchukia Magufuli walikuwa na sababu za msingi, wengine walimchukia kwa sababu zao binafsi hasa ikizingatiwa awamu ya nne ililea taifa letu kifisadi sana, wakapeleka mazoea hayo kwa Magufuli wakidhani angekuwa mwenzao kumbe hakuwa na habari nao.
Alichukiwa kwa sababu alikuwa muuaji. Hata ufanye mazuri vipi lakini ukiwa muuji inafuta mazuri yote
 
Ukifuatulia ya makamba rudi nyuma alipokua waziri wa mazingira....kwenye agizo la kuziwia mifuko ya plastik nini alichofanya hadi kutumbukuwa
Makamba amejaaliwa kipaji cha kutiririsha maneno na kuyapamba kimashairi, lakini ukifuatilia utakuta hakuna vitendo! Anaongea na ana kuacha pale ulipokuwa unamsikiliza, hupati faida yoyote.
Nafikiri alipotumbuliwa na JPM, kisa cha kutumbuliwa kilikuwa ni hicho. Maneno mengi vitendo sufuri!
Makamba kama ange anza kutenda na matokeo yakaonekana, mbona hata uraisi ungemfaa? Lakini - talk talk no tangible results.
 
Nitakukumbuka Daima. Umeacha Alama wachache tulijua umuhimu wako. Nenda Baba, Nenda JPM. Tutakutana soon

My Best and number one Presida in Africa followed by Gadaffi. Pumzikeni kwa Amani
IMG-20211123-WA0001.jpg
 
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,

yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la nyerere lilitegemewa kujazwa maji.

Leo cha kusikitisha ngonjera zimekuwa nyingi na shughuli zisizo na lazima eti waziri anatembelea nyumba kwa nyumba kuangalia maji kama yanatoka,yule mchina aliyechepusha yupo mahabusu gani tukamtembelee au ndio kaole sanaa group,
Yule mwingine eti yupo bize kwenye vyanzo vya umeme wa maji yaani kutuzuga,tusitafute wahujumu uchumi zaidi ya hawa mawaziri wawili Aweso na Makamba yaani wamegeuka wababaishaji wakubwa sana.

Jpm alitumia dawa gani dhidi ya hawa wahujumu?
Na mama anashindwa.

Angalizo 2025 haipo mbali hatutosita kuchukua hatua kali!

Tafadhwali mjitathimini Makamba na Aweso kama mnatosha sio blah blah za kisiasa!
Hujui kitu wewe! Umeme ulikatwa lakini hamna matangazo yaliyotoka! Tangu 2019 kuna wakati Dodoma hii maji na hata umeme vilikuwa vinakata kabisa. Haswa maji!
 
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,

yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la nyerere lilitegemewa kujazwa maji.

Leo cha kusikitisha ngonjera zimekuwa nyingi na shughuli zisizo na lazima eti waziri anatembelea nyumba kwa nyumba kuangalia maji kama yanatoka,yule mchina aliyechepusha yupo mahabusu gani tukamtembelee au ndio kaole sanaa group,
Yule mwingine eti yupo bize kwenye vyanzo vya umeme wa maji yaani kutuzuga,tusitafute wahujumu uchumi zaidi ya hawa mawaziri wawili Aweso na Makamba yaani wamegeuka wababaishaji wakubwa sana.

Jpm alitumia dawa gani dhidi ya hawa wahujumu?
Na mama anashindwa.

Angalizo 2025 haipo mbali hatutosita kuchukua hatua kali!

Tafadhwali mjitathimini Makamba na Aweso kama mnatosha sio blah blah za kisiasa!
Kiangazi hamuioni? Au mmeamua kumtukuza tu Mwenda zake. Nenda kaone Mto Ruaha kama una maji. Hata pangani maji mtoni yamebaki kidogo sana. Kihansi ndo usiseme. Kwa kawaida kipindi Nyanda za juu kusini mvua zinanyesha. But awamu hii bila bila. Hivyo maji kupungua hakikwepeki.
 
Alipokuwa akisema wanaomchukia ni wapiga deals ilionekana kama anajisifia uongo vile. Hana hata mwaka ardhini ila mtashuhudia wenyewe na mtamkumbuka!

Awamu ya nne ilizalisha mafisadi na kuwalea kana kwamba walichokuwa wakikifanya kilikuwa ni sahihi! Ilipotokea jamaa akawa hawapi nafasi ya kuinyonya serikali ndio chuki na matusi na kejeli zilianza kila kona, oh tumepata raisi mshamba haijawahi kutokea kumbe raisi mshamba ni yule ambaye hashirikiani na wanasiasa kuibia nchi kupitia mikataba ya kinyonyaji RIP Magufuli.

Utagundua chuki kubwa ilikuwa kuzimwa kwa ndoto za mafisadi na wala rushwa kukwamishwa katika michakato yao.
Leo hii kigogo 2014 kala teuzi kimyaaaaaaaaa hakuna kelele tena r.i.p magufuli
 
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,

yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la nyerere lilitegemewa kujazwa maji.

Leo cha kusikitisha ngonjera zimekuwa nyingi na shughuli zisizo na lazima eti waziri anatembelea nyumba kwa nyumba kuangalia maji kama yanatoka,yule mchina aliyechepusha yupo mahabusu gani tukamtembelee au ndio kaole sanaa group.

Yule mwingine eti yupo bize kwenye vyanzo vya umeme wa maji yaani kutuzuga, tusitafute wahujumu uchumi zaidi ya hawa mawaziri wawili Aweso na Makamba yaani wamegeuka wababaishaji wakubwa sana.

JPM alitumia dawa gani dhidi ya hawa wahujumu?
Na mama anashindwa.

Angalizo 2025 haipo mbali hatutosita kuchukua hatua kali!

Tafadhwali mjitathimini Makamba na Aweso kama mnatosha sio blah blah za kisiasa!
Kwa sababu alihakikisha baadhi ya watu hawaibuki serikalini tena...January, Nape....etc .........akamminya mwigulu mpaka alipohakikisha kuwa amekuwa na adabu ndipo akamrudisha.
 
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,

yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la nyerere lilitegemewa kujazwa maji.

Leo cha kusikitisha ngonjera zimekuwa nyingi na shughuli zisizo na lazima eti waziri anatembelea nyumba kwa nyumba kuangalia maji kama yanatoka,yule mchina aliyechepusha yupo mahabusu gani tukamtembelee au ndio kaole sanaa group.

Yule mwingine eti yupo bize kwenye vyanzo vya umeme wa maji yaani kutuzuga, tusitafute wahujumu uchumi zaidi ya hawa mawaziri wawili Aweso na Makamba yaani wamegeuka wababaishaji wakubwa sana.

JPM alitumia dawa gani dhidi ya hawa wahujumu?
Na mama anashindwa.

Angalizo 2025 haipo mbali hatutosita kuchukua hatua kali!

Tafadhwali mjitathimini Makamba na Aweso kama mnatosha sio blah blah za kisiasa!
Hatua gani utachukua? kama ulishindwa kuchukua 2020
 
Kiangazi hamuioni? Au mmeamua kumtukuza tu Mwenda zake. Nenda kaone Mto Ruaha kama una maji. Hata pangani maji mtoni yamebaki kidogo sana. Kihansi ndo usiseme. Kwa kawaida kipindi Nyanda za juu kusini mvua zinanyesha. But awamu hii bila bila. Hivyo maji kupungua hakikwepeki.

Kwa hiyo wewe unabishana na meneja wa bwawa la Mtera.
 
Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame ,

yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la nyerere lilitegemewa kujazwa maji.

Leo cha kusikitisha ngonjera zimekuwa nyingi na shughuli zisizo na lazima eti waziri anatembelea nyumba kwa nyumba kuangalia maji kama yanatoka,yule mchina aliyechepusha yupo mahabusu gani tukamtembelee au ndio kaole sanaa group.

Yule mwingine eti yupo bize kwenye vyanzo vya umeme wa maji yaani kutuzuga, tusitafute wahujumu uchumi zaidi ya hawa mawaziri wawili Aweso na Makamba yaani wamegeuka wababaishaji wakubwa sana.

JPM alitumia dawa gani dhidi ya hawa wahujumu?
Na mama anashindwa.

Angalizo 2025 haipo mbali hatutosita kuchukua hatua kali!

Tafadhwali mjitathimini Makamba na Aweso kama mnatosha sio blah blah za kisiasa!
Kuna watu Wana chuki na mama na Makamba kwa hiyo wanafanya hujuma kusudi Ili kumfitinisha na wananchi aonekane hawezi na hasa wafuasi wa Mwendazake alikuwa kawajaza vitengo mbalimbali.

Ila wacheze salama wakibainika watajuta na wataelewa kwamba Mfu hawezi wasaidia.
 
Back
Top Bottom