hayakuhusu!

haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile kabila la ukanda wa pwani lishapigwa vikumbo zamaniii na kabila moja ivi huko KASKAZINI!!na ni wataalam kweli wa kuficha hisia na muonekano..wana ndoa zao na kazi zao za heshima!!habari ndio iyo!!
vp wanaficha hata mhemuko yao?
 
Niko wangu, leo unanichekesha. Ki ukweli sijaelewa nabaki kutoa comment kwa waliojaribu kuelewa. Hahahaah hujalala tu?
 
Leo week-end start,...watu wanaandikia bar hizi thread,.........

aha aha aha! Kwa iyo baada ya serengeti ya kwanza,ya pili ,tatu na nne jamaa kaagiza mchemsho,wakat waiter anaandaa,jamaa maji yakapanda kwenye kabureta,akafungua laptop akidhani anamuandikia jirani yake sms kwa msimu wake mkubwa! Tee teeh teeh! Itabidi wengne mkitoka kazini,mkakabizi laptop hom kabla ya kwenda kona bar! Spati picha alivokuwa amekodolea laptop macho akiisaka keypad! Aha ahaa ahaa aaha!
 
Back
Top Bottom