hayakuhusu!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile kabila la ukanda wa pwani lishapigwa vikumbo zamaniii na kabila moja ivi huko KASKAZINI!!na ni wataalam kweli wa kuficha hisia na muonekano..wana ndoa zao na kazi zao za heshima!!

habari ndio iyo!!
 
ndo nini hii wewe mkono wa nyau.........
mbona sijakuelewa hapa,
hii post naona imekaa kipashkuna hiviiii..................lol...
 
mhh yani kuna wakti nasoma baadhi ya thread naishia kuckitika tu utadahni watu wamelazimishwa kutuma hata iwe upupu.
 
Leo week-end start,...watu wanaandikia bar hizi thread,.........
 
haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile kabila la ukanda wa pwani lishapigwa vikumbo zamaniii na kabila moja ivi huko KASKAZINI!!na ni wataalam kweli wa kuficha hisia na muonekano..wana ndoa zao na kazi zao za heshima!!

habari ndio iyo!!

Heeeeee????!!!!!!!!!!!!
 
mi nimekuelewa mkuu. haya, mwaga basi experience yako na hao wa kaskazini ili waungwana wakupate uzuri yakhe!na usisahau kuelezea kama ww ni wa pwani,lol
 
heheheh!!mi observer kanda za juu kusini wajamen:israel:
 
sasa jamani si ndo utoe ripoti ya observation yako? ukikaa na observation yako kumoyo ni sawa na kufanya utafiti afu usi-publish! aiii weee, sema banaa!

kinga'sti upoo?

hujaelewa nini hapo?

anasema wachaga siki hizi wamewazidi watu wa pwani kwa kupenda ule mtandao unaotanuka kila siku
lakini wamejikausha kama sio wao...
umeelewa??????????
 
Back
Top Bottom