BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
0.Serikali lelemama
1.MAKAMPUNI YA SIMU(wananchi wanajiuliza serikali mipo wapi wakati wanaibiwa kila siku)
2.MIGODI(Madini kama tanzanite ingetakiwa kuchimbwa na wazawa,watu wa nje wamedhaminiwa kuliko wazawa arusha imejengwa na tanzanite serikali yyt haiwezi leta maendeleo ila watu..sera nzuri za serikali huleta maendeleo)
3.Wawekezaji(leo kampuni ya uturuki inaagiza makaa ya mawe na chakula kuoka china wakati kila kiyu kipo hapa)
4.Viongozi wabinafsi serikalini
5.Watoto wa vigogo
6.Vyama vingi(kwa nchi kama yetu tungekuwa na vyama vinne tu...au ukitaka kuanzisha chama anzisha lakini hakuna ruzuku...
7.kutokuwepo kwa ajira(serikali kama haiwezi kuajiri ingetengeneza mazingiza ya ajira(benki kutoa mikopo ya riba nafuu sio 44%)..kulikuwa na haja gani ya kusherekea miaka 50 ya uhuru kwa kutumia 64billion wakati karibu watanzania laki shahada ya chuo kikuu hawana ajira rasmi.
ongezea