Haya tujuane sasa tuko katika Kundi gani kati ya yafuatayo yaliyotajwa hapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
"Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia.

Chanzo: cloudstv

GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari nimeshakuwa Mzee, kumbe Nilijidanganya tu bado sana na kumbe hata hivi sina Mpango wa Kuoa Mtoto wa Mtu kwa sasa nipo sawa kwani kwa Kundi la Umri nililipo bado natakiwa Kuzichakata 'naniliu' zote mpaka nizichoke ndipo niwaze sasa Kuoa ili nitulie nae daima milele Amina.
 
Nina brother wangu anakaribia 35 ila anamuonekano wa 25 muda mwingine Ujana ni fitness na muonekano unaweza kuwa na miaka 23 na ukawa mzee maana huyo brother wangu aliwahi kumsalimia binti wa miaka 25 aliogopa mwili ulivyokaa kama mmama
 
Nilisikia mahali wanasema mtoto wa uzeeni anakuwa na upungufu wa akili
Iko hivi kisayansi,
Unapozaa mtoto ukiwa na umri mkubwa esp mwanamke kuna risks nazo ni ;
- Uwezekano wa kuzaa akiwa na ulemavu wa viungo, akili au kuzaliwa kabla ya muda.

- Uwezekano wa mama au mtoto kupata complications ambazo zinaweza kusababisha kifo kwa mmoja au wote ie mzazi na mtoto.

Hii sasa ni hearsay: Kuzaa mtoto ambaye anakua na akili sana!
 
"Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia.

Chanzo: cloudstv

GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari nimeshakuwa Mzee, kumbe Nilijidanganya tu bado sana na kumbe hata hivi sina Mpango wa Kuoa Mtoto wa Mtu kwa sasa nipo sawa kwani kwa Kundi la Umri nililipo bado natakiwa Kuzichakata 'naniliu' zote mpaka nizichoke ndipo niwaze sasa Kuoa ili nitulie nae daima milele Amina.
46-49 sisi je?
 
Back
Top Bottom