Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
NaamVita ya panzi furaha ya kunguru.
Simply huko US kuna ma thugs na ma homeless kibao ambao nao kupitia hizi demonstrations wanatumia hilo gap nawao walau kupooza machungu ya maisha kwa kuiba iba na kufanya vurugu
Vita ya panzi furaha ya kunguru.
Simply huko US kuna ma thugs na ma homeless kibao ambao nao kupitia hizi demonstrations wanatumia hilo gap nawao walau kupooza machungu ya maisha kwa kuiba iba na kufanya vurugu
Haya yaliyotokea jana kwenye miji ya majimbo mbalimbali si maandamano.
Hayakuwa maandamano ya kudai haki.
Zile zilikuwa ni vurugu.
Sasa kinachobamba kwenye habari si kifo cha George Floyd. Ni hizo vurugu za hao wapumbavu.
Majitu yanaenda yanavunja maduka na kuiba pombe, nguo, masufuria, nepi za watoto, na chochote kile kiwezacho kubebwa!
Jana makao makuu ya CNN nayo yakashambuliwa. Sasa CNN inahusikaje, kwa mfano?
CNN siku hizi imekuwa ya hovyo kabisa. Si ile CNN ya akina Bernard Shaw, Riz Khan, na magwiji wengineo wa tasnia ya habari waliotufanya tuiamini kama chombo cha uhakika cha habari. CNN ya siku hizi imekuwa chombo cha uanaharakati wa kisiasa. Siipendi kabisa CNN.
Lakini, licha ya hivyo, kilichotokea jana kwenye makao makuu yake siwezi kukikubali hata kidogo.
Na heko kwa mapolisi wote walioonyesha ‘restraint’ ya hali ya juu sana, wakiwemo Secret Service police kwenye viunga vya White House.
View attachment 1463527View attachment 1463528View attachment 1463529View attachment 1463530
Mkuu Kwani lockdown imekwisha au
Hali ya huko ipoje kwa Habari ya lockdown MrSijui.
Hali ya huko ipoje kwa Habari ya lockdown Mr
Nilisikia USA Kuna katazo la kutoka njeHabari ya lockdown ndo nini Mr?
Nilisikia USA Kuna katazo la kutoka nje
Kutokana na Corona.
Sasa naona watu wapo kitaa wanaandamana.ndiyo nikauliza je,lile katazo la kutoka nje limekwisha au hao watu wameforce kutoka au katazo lipo baadhi ya majimbo na miji?
Exactly...They refused to listen when Mr Floyd begged for his life, they refused to listen when Mr Floyd family begged for justice. They refused to listen when they knelt also they refused when people marched.
.
Najua protest na riot aren't the same thing but conflating hao askari wawili pekee gives people a negative view of the people who oppose police injustice!
POLICE CAN'T BE TRUSTED
Oh yeah?US kuna watu wamechoka sana kimaisha na wamejawa na msongo wa mawazo kishenzi, wakipata pa kutolea hasira ndo inakuwa hivo