Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
ukweli mchungu huu.....Ukweli usiopingika, Wazungu hawawezi kumwacha Mwafrika (awe USA au Afrika) aendeleze maisha yake kama anavyotaka/kupenda kwa sababu tu ya kujiona wao ni bora kuliko ngozi nyeusi. Kitu ambacho wazungu wamekikumbatia ni kuona Waaafrika wanatoa unyenyekevu kwao no matter what.
Viongozi wao sasa wanatoa machozi ya mamba tu. Huwezi kuligundua hilo kama wewe bado upo ule ulimwengu wa tatu.