CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Labda ulilala mchana
Vipi mumeo yupo au kasafiri?
Nalog off
Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Ayaaa we si majuzi humu ndo ilikuwa inatangazwaHahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Hapana sio la kizushi nipo katika jitihada za kutaka kukusaidia,sasa fanya hivi tafuta mtu ambaye atakuwa anakuchosha usiku nafikiri utaupata usingizi vizuri tu.Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Ndio maana.....
C6 alikimbia mazima..!!?
Nakuja next week..... wallah nakwambia utakuwa unalala kama gogo..
Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Ndio maana.....
C6 alikimbia mazima..!!?
Nakuja next week..... wallah nakwambia utakuwa unalala kama gogo..
Yaan bora uje!!!
Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Mwenyekiti Baba V nadhani kwenye msafara wa mamba na Kenge wapo, so na mi ntakuwemo najua atakuwepo mwengine asiye na usingizi tu
Habari zenyu binafsi....
Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo aliyenipokonya usingizi wangu nikimtambua walahi namgeuza mjusi kafiri au kenge...
Khaaaaaa..... Hivi kuna mtu ana tatizo kama langu!???? Nahisi hata kupungua now days lol!!!!!!
Msaada wadau.....