Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Hao ni wafugaji wajinga mfugaji halisi hawezi kufanya upumbavu wa namna hiyo.
Hasa wamasai ambao hawalimi ndiyo hufanya hivyo lakini wasukuma tunalima na kufuga hatuwezi kulisha mashamba ya watu
Unawatangazia mazao yana sumu wasiingize ng'ombe shambani watakufa walishe pembeni.
 
Nenda June mkuu, utainjoi na utafanya utafiti kwa Raha.
VIP nipe Ramani jinsi ya kufika kuna Landrover 109 panda pickup inaoza tu hapa dar ikapige hata Kazi porini
 
Powa mkuu, Mimi huwa Nakuja kununua ufuta mkuu, huwa nafikiaga hapo kwenye Hiyo guest house ya Mwalimu mstaafu mbele ya mnara wa Vodacom, !!! Nilikuwepo hapo 2016
Anaitwa MWL mcheleya alikuwa mwalimu shule ya msingi lakn sina iman kama ametaafu tayar guest yake IPO jiran na nyumba yake lakin kwa sasa kuna guest ya kijj pia n nzur vyumba self
 
Yaelekea huko ni kuzuri ila watu hawataki kuelezea hali ya wenza ikoje? na nauli ni shillingi ngapi kutokea hapo Rangi3? je Guest ni hiyo moja tu ya mstaafu?
Mkuu nimeelezea kila kitu kuanzia naul gar gan upande sema umekuwa mvivu kupitia nyuzi hii
 
mkuu haukufika MANGAKA?
Mangaka n wilaya mpya IPO mkoa wa mtwara kama unapitia nanjirinj unafka ruangwa then had nangnga hapo unaelekea had masasi then unachukua gari kuelekea mangaka utapitia vijj kama mikangaula namatumbusi nangomba kwa huko fursa n zao LA korosho na karanga mkuu
 
Mangaka ndo penye makaa ya mawe?
 
RIP mzee mtopa Diwani wa Muda mrefu wa nanjilinji kama ukiweza kuweka misingi ya kuwalipia wanafunzi na wakina mama wanapo jifungua
 
Back
Top Bottom