Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Nimekiangalia kijiji hicho kwenye google sijakiona bali nimeeishia kujua kuwa kipo Kilwa, ukiona msukuma kahamia huko basi jua kuna malisho ya ng'ombe, pana sehemu ya kulima na ni pazuri kupata mke wa bei chee
ha haha hahaa
 
Uzi mzuri sana "" endeleeni kutupatia "" feedback wakuu""...
 
Ucjar mkuu mm nipo naungo kuna machimbo huko mandojo pia kama ukifuata ile njia inayokwenda ruangwa kifup kama upo serious. Kuna LA kujifunza huko maisha s mjini tu binafs naishi DSM lakin maisha yapo nanjirinji
Mkuu hayo machimbo bado watu wanachimba?
 
Direction ya kwenda huko ikoje kama natokea dar , yaan napanda gari gan mpk huko??
Unapanda gar toka RANGI3 Kuna magari mawil tu kwa sasa yanaenda huko ambayo hupokezana Kuna gari inaitwa MTEGAMA na NASHAZI Muda wa kuondoka ni SAA moja na nusu kufika ni SAA kumi had kumi na mbil au ukichelewa unaweza panda gar znazokwenda Lindi au mtwara unashuka kijiji kinaitwa KIRANJERANJE hapo utakuta bodaboda bei huanza elfu saba had kumi kama unamzigo inaweza panda pia chaguo n lako mkuu
 
Safi Mkuu mimi kuna mambo nimeyafanyia utafiti nimegundua haraka
sana ukiyafanya huko yanakutoa kimaisha, nasema nitarudi kwa miguu
miwili. Naamini huko ukikaza miaka mitano 5 tu unaweza kurudi na kuifadhili Yanga
duuu hungera zako mkuu
 
Karibu mkuu tutafutane utakapoenda ntakupa ushaur juu ya huku
Powa mkuu, Mimi huwa Nakuja kununua ufuta mkuu, huwa nafikiaga hapo kwenye Hiyo guest house ya Mwalimu mstaafu mbele ya mnara wa Vodacom, !!! Nilikuwepo hapo 2016
 
Powa mkuu, Mimi huwa Nakuja kununua ufuta mkuu, huwa nafikiaga hapo kwenye Hiyo guest house ya Mwalimu mstaafu mbele ya mnara wa Vodacom, !!! Nilikuwepo hapo 2016

Yaelekea huko ni kuzuri ila watu hawataki kuelezea hali ya wenza ikoje? na nauli ni shillingi ngapi kutokea hapo Rangi3? je Guest ni hiyo moja tu ya mstaafu?
 
aisee,nahisi kushawishika kwenda kwenye hilo chimbo kujitafutia riziki na mimi...
 
Hautoijutia pesa yako binafs nakoheshimu huko kjj kimenifanya nifke hapa nilipo namshukur sana rafk Yangu alinileta pale kwa Mara ya kwanza mwaka 2013 ndpo nilpogundua fursa huko pia kuna bonde LA mpunga lipo kjj jran kinaitwa NAKIU wanalima mpunga balaa nilijaribu mwaka Jana kama nusu ekar huenda nikavuna s chin ya gunia kum na tano had ishirin
Nataka nikalimie nawezapata heka elf moja au zaid nilime karanga, KUNDE,alizet,mtama nk
 
Sijakosea mkuu, maeneo yanakuwa ya kijiji hivyo wewe lima na hata mwaka unaofuata lakini ujue tu ardhi sio yako.
Sihitaji kumiliki ardhi nataka ya kulima zaidi ya ekari si chini ya elf moja,na machine za kusafisha mapori ndani ya wiki ni uwanja wa mpira na za palizi pia.
 
Back
Top Bottom