Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Machinga wengi walioko Dar wametoka huko kusini,kama kuna hela hivyo kwa nini wamekimbilia Dar kuuza biashara za mkononi?
Si kweli machinga wengi hawakijui hiki kijiji tofauti na vile wengi wanavyofikiri.
 
Tunazungumzia fursa mkuu, wakati wa msimu UFUSKA unakuwa wa kutisha tena hufanywa na watoto na wakubwa ndoa kipindi hicho hazithaminiwi, TAHADHALI - KASI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI INAKUWA KUBWA.
Mkuu umesema kwa laki2 unapata ardhi ya ekari 50 had I 100 he hii ni kwa kukodi ama kununua ama umekosea kuandika mkuu
 
Mkuu umesema kwa laki2 unapata ardhi ya ekari 50 had I 100 he hii ni kwa kukodi ama kununua ama umekosea kuandika mkuu
Sijakosea mkuu, maeneo yanakuwa ya kijiji hivyo wewe lima na hata mwaka unaofuata lakini ujue tu ardhi sio yako.
 
Bado soko halijafunguliwa kwa taarifa nilizonazo wale ambao wananunua chinchin n tsh 1850 kwa kilo kumbuka zao hili kwa kile huuzwa ghalani katka mfumo was stakabadh ghalani huenda ukafka kat ya 2500 had I 3500
Shukran mkuu, Naona mambo yatakua mazuri kama zao la korosho tuu, mwenzi wa sita nitakua huko,
 
Mimi nitaenda huko November kupaona tu nipeleke mifugo yangu
Kuhusu ufugaj kulikuwa na mgogoro na wanakijj kwan nanjirinji s sehemu iliyopangiwa na serikal kama sehemu ya malisho hvyo wafugaj waliambiwa wahame waende vjj vilivyopangiwa kwa ajl ya ufugaj kama makangaga na mbwemkuru kumbuka kijj HK cha nanjilinj kmepakana na mbuga ya selous
 
Kuhusu ufugaj kulikuwa na mgogoro na wanakijj kwan nanjirinji s sehemu iliyopangiwa na serikal kama sehemu ya malisho hvyo wafugaj waliambiwa wahame waende vjj vilivyopangiwa kwa ajl ya ufugaj kama makangaga na mbwemkuru kumbuka kijj HK cha nanjilinj kmepakana na mbuga ya selous
Nikifika huko dondoo muhimu kama hizi zitanisaidia sana.
Vipi minada ya ng'ombe ipo huko ?
 
Mkuu, wiki 3 ukapiga Tsh 3.7M halafu umeondoka huko tena!? Kwanini umehama hapo kijijini ili hali with a very short time of period uliweza ku make money like that!?
Ndio nilifika kipindi hicho cha msimu kama ningewahi mapema
ningeweza kupata zaidi, sasa kama msimu umeisha na mimisio
mkazi nifanye nini?
 
Nimekiangalia kijiji hicho kwenye google sijakiona bali nimeeishia kujua kuwa kipo Kilwa, ukiona msukuma kahamia huko basi jua kuna malisho ya ng'ombe, pana sehemu ya kulima na ni pazuri kupata mke wa bei chee
Malisho na kilimo ni sawa hilo la mke wa bei chee ndo sijui!
 
Mkuu mm na vitega uchumi vyangu huko kuanzia makangaga pale inapochimbwa gypsum NAKIU had hapo nanjilinj si kwel watu wanavyopaongelea tofauti binafs nalima pia zao LA ufuta kwa wingi hapo nauli n 22000 toka hapa DSM ardhi n nzuri sana nimependa utaratbu wa kjj chao kuwalipia wanafunz michango wanapoanza kidato cha kwanza pale NAKIU sekondari kifup masika n shida hasa BARABARA hiv keshokutwa naelekea huko kuvuna ufuta wangu
Safi Mkuu mimi kuna mambo nimeyafanyia utafiti nimegundua haraka
sana ukiyafanya huko yanakutoa kimaisha, nasema nitarudi kwa miguu
miwili. Naamini huko ukikaza miaka mitano 5 tu unaweza kurudi na kuifadhili Yanga
 
Back
Top Bottom