Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Haya ni mambo yaliyonisisimua huko Nanjilinji

Watakuja sasa hivi
Mimi.nishaanza kusafir ndotoni... uo mji umeupa sifa kama "wakanda" (filamu ya black panther) au mfano halisia Liberia.

*waja wazito kulipiwa gharama na kijiji
* wanafunzi kulipiwa na kijiji
Hii ni neema, habar njema sana [HASHTAG]#ujamaa[/HASHTAG]
 
Nimekiangalia kijiji hicho kwenye google sijakiona bali nimeeishia kujua kuwa kipo Kilwa, ukiona msukuma kahamia huko basi jua kuna malisho ya ng'ombe, pana sehemu ya kulima na ni pazuri kupata mke wa bei chee
Msukuma anacheck uwepo wa eneo na malisho, bila shaka yatakua yapo...
 
Machinga wengi walioko Dar wametoka huko kusini,kama kuna hela hivyo kwa nini wamekimbilia Dar kuuza biashara za mkononi?
Kwa hesabu za haraka wanakuja Dar wakiwa na nauli tu, wanavutiwa na vingi vya mji sio kazi na ajira pekee. Hata hamu ya kubadilisha mazingira, kuona jiji la Dar na wanaamin kuna bishara tofauti na sehem kubwa ya shughuli zilizoko kwao kama kilimo, ufugaji na uchimbaji.
 
Machinga wengi walioko Dar wametoka huko kusini,kama kuna hela hivyo kwa nini wamekimbilia Dar kuuza biashara za mkononi?
Ni kweli nina mfaham mmoja, tumeishi nae tangu nikiwa na mwaka mmoja hadi leo nafanya kaz. ..(miaka 25-30) Hua hawana elimu, hua wanafanya vitu mbalimbali kujikimu kimaisha bila kudumu na shughuli moja...starehe nje nje namba moja ni mapenzi
 
Nimekiangalia kijiji hicho kwenye google sijakiona bali nimeeishia kujua kuwa kipo Kilwa, ukiona msukuma kahamia huko basi jua kuna malisho ya ng'ombe, pana sehemu ya kulima na ni pazuri kupata mke wa bei chee
Mke wa bei rahisi hapa mi mwenyewe nimekubali natafuta kijiji nitachopata mke wa bei rahisi.
 
Back
Top Bottom