Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi
Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀